Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Watu singo, watu broke,watu Walio na huzuni,Watu wenye manyanyaso ya mwili na akili ni washauri wazuri sana..
Reason behind
Hua hawapendi kuona watu wengine kupitia kwenye tabu walizomo..je wewe uko kundi gani dadaa..

Itakua upo singo weewe..🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Haha,
Denvers bwaana!!
Sijui nijibu nini hapa, enwei ni kweli kabisa mtu ukiwa na matatizo hasaa ndo unakuwa na ile sense ya kujali wengine.!!
 
Uko sahihi kabisaaa Lizarazu ila ipo scenario moja tu utakutana nayo kabla ya kurudi kwa baba, utachapwa na tukio la kupenda kwa moyo woote na hisia kaaalii, utajiuliza ni wapi umezisahau akili zako!
Mimi mwenyewe nilijiona bingwa wa kuzifunika hisia nikajihisi mjanja , juzi tu hapa nimekuja kufall kipumbavu tu na siamini ni mimi. Mpaka sasa niko nastruggle kujitoa bado sipati upenyo.
Nilishasema binadamu tukifanikiwa kuzi control hisia zetu kwa kutozipa nafasi ya kutuongoza kwenye kufanya maamuzi, hakika tutakuwa tumepunguza possibility ya kuumizwa kwenye mapenzi kwa asilimia nyingi mno.

Mara nyingi tunaumizwa kwa sababu tunaruhusu our emotions to cloud our sense of judgment in the situation that needs sensibility mostly.

Hisia ndio kitu ambacho kinatupa pleasure kwenye mahusiano lakini pia ndio kitu ambacho kinatupa mateso. Unakuta mtu yuko kwenye mahusiano na mtu ambaye ana mnyanyasa, anamsaliti yaani anamfanyia vitimbwi vya kila aina lakini anaishia kulalamika tu wala haondoki.

Yote hiyo ni kwa sababu upendo(hisia zake) umemuweka kwenye cage ya mtu huyo na hawezi kuondoka. Na mpaka anafikia hatua ya kukaa kwenye cage ni baada ya sensibility/akili kufunikwa na hisia wakati wa maamuzi.

Binafsi mimi najiitahidi sana nitumie zaidi akili hata kwa haya yanayoitwa mapenzi, yaani kila nnachoamua nakipitisha kwanza kwenye logical table. Inaniepusha na hayo mabalaha kama unayoelezea hapa kwenye mada.
 
Lizarazu, nakubaliana na wewe kabisa kwamba tunakuwa clouded na emotions mpaka tunashindwa kufanya maamuzi,
Lakini do you real think kitu kama mapenzi unaweza kukiendesha kama vile wewe unavotaka, hapa nazungumzia ile namna bado upo so soft bado walimwengu hawajakutenda,

Maana tukishaumizwa ndo huwa tunaanza kuenenda kwa step..! Me Nataka kufahamu jinsi hasa ya kuziendesha akili ile moment unaumia mpaka akili imegota.!!
 
SweetieLee I have a situation kama namba 2 hapo but that girl naona kama haelewi hivyoo,nisije nikamchelewesha bure
Ni bora umuambie mtu ukweli ili ajue kama atasuka ama atanyoa, huko kuendelea kumpotezea muda ni kumkosesha mtu wake sahihi.!!

anyway, nilisema sitaki shauri hivi mtu tena, tumia tu akili mkuu wangu.!
 
Na yeye kipindi hicho anakuwa na uhitaji wa kukutumikisha so hakuachii kirahisi

Padre mmoja baada ya kumuozesha mdogo wake .

Dada na mumewe maisha yalikua mazuri sana mwanzoni

Mara kipigo kikaanza..mdada anapigwa utadhan mbwa.

Akirudi kwa kaka yake Padre ...Jamaa anamsomea mafungu ya Biblia ,mdada anasamehe anarudi.

Siku zinaenda anapigwa kipigo cha mbwa koko, Mdada anaenda kwa kaka yake, anamwambia Nitauliwa ..Jamaa anasoma Bible, kisha anamwambia "Huna kazi, hujasoma" unataka kua mzigo wanani????.

Mwisho mdada kila akipigwa, akawa anaishia kulilia ndani mwake, na akawa haendi tena kwao wala kwa kaka yake...isipokua akawa anaandika.

Nikatika kutafuta kisa cha Mdada huyu kufa, zilikutwa BARUA 13 ikimanisha Vipigo kwa siku tofaut 13, na Barua ya Mwisho akawa ameandika

"Kaka, Nimepigwa sana Hapa nilipo Kichwa na tumbo ,mbavu zinaniuma sana , sina wakunipeleka Hosp, kwasasa hata nikikojoa naona Damu".

Padre siku ya Mazishi ..ndo watu walijua kumbe hata watumishi hawa Wana Hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhan, kwa Mwanamke Huru, anayejiamin, asotetereka, ambaye kwake Maisha ni Uhai........ .......... Hawezi kaaa vumilia Kipigo cha aina hiii.

Jana nikiwa Kazin, analetwa Mmama wa miaka 43 na kaka yake, mmama hata kuhema hawez, ukimgusa Mikono analiaa..ukigusa tumbo analia..ukigusa mbavu. Mgongo, kichwan yaan nikulia , kavimba mwili wote ...

Nikauliza nini??? Et Mumewe alikua anampiga na kuni Juzi, Lijamaa likakataa katakata kumleta Hosp, Majiran ndo kumpigia simu Kaka wa Mwanamke, Kaka kaja kambeba Mdogo wake kaenda polisi kwa pf3 , ndo sasa akamleta .

Bahati nzuri kwa vipimo nlivoagiza, Mama hajapata tatizo hatarishi.

Kuna kakipigo..kuna kipigo..kuna Likipigo...... Acheni ujinga,, Alochomwa na Gunia la Mkaa, hakuchomwa akiwa hai.... Bali alipigwa kipigo, kikafuata Likipigo ndo akafariki.... Kwaiyo swali la wapi nimpeleke???nikifukia mifupa wataipata..nifanyaeje??? "Ndo lilipelekea Jamaa kumchoma kwa Gunia mbili".

#wanawake pambaneni kua Huru, kwa mwanaume mjinga? Ili akuheshimu ni lazima Uwe na cha kwako[emoji23][emoji23]..mtabisha ila ukweli ndio huoooo.......

Na km umeolewa/Uliozeshwa kwa kupunguza mzigo/upepo wakisulisuli...ndo hayo yanawakuta.
 
shida ni kuwa unaweza lazimisha kuondoka na bado ukarudi..! Pambana tu kidogo kidogo mpaka uridhie mwenyewe kumuacha uende.!
 
Ni bora umuambie mtu ukweli ili ajue kama atasuka ama atanyoa, huko kuendelea kumpotezea muda ni kumkosesha mtu wake sahihi.!!

anyway, nilisema sitaki shauri hivi mtu tena, tumia tu akili mkuu wangu.!

I know ni lawama, you know some relationships are not stairways to marriage eh?
 
Ndio maana mimi huwa ni mzito sana kutoa ushauri wa kimahusiano
My bestfriend alini video call namuona jicho limevimba anasema boyfriend kampiga, acha nipanic, nikamcall her boyfriend hapokei nikasend a voice note nilimpa sio maneno bali mijineno mizito mizito,

After a week naona wamepostiana kwenye status, "girl whaaat!!?" ananiambia the guy alijirudi and is so sweet kwa sasa, mie eeh na vipi ile voice note yangu nilomtumia eti "ooh usijali ameelewa ulikua unani defend as a bestfriend", nikamwambia "bitch, next time anakunyofoa jicho don video call me go back to him na umuombe akuweke la mbuzi muendelee kupostiana"
 
Padre mmoja baada ya kumuozesha mdogo wake .

Dada na mumewe maisha yalikua mazuri sana mwanzoni

Mara kipigo kikaanza..mdada anapigwa utadhan mbwa.

Akirudi kwa kaka yake Padre ...Jamaa anamsomea mafungu ya Biblia ,mdada anasamehe anarudi.

Siku zinaenda anapigwa kipigo cha mbwa koko, Mdada anaenda kwa kaka yake, anamwambia Nitauliwa ..Jamaa anasoma Bible, kisha anamwambia "Huna kazi, hujasoma" unataka kua mzigo wanani????.

Mwisho mdada kila akipigwa, akawa anaishia kulilia ndani mwake, na akawa haendi tena kwao wala kwa kaka yake...isipokua akawa anaandika.

Nikatika kutafuta kisa cha Mdada huyu kufa, zilikutwa BARUA 13 ikimanisha Vipigo kwa siku tofaut 13, na Barua ya Mwisho akawa ameandika

"Kaka, Nimepigwa sana Hapa nilipo Kichwa na tumbo ,mbavu zinaniuma sana , sina wakunipeleka Hosp, kwasasa hata nikikojoa naona Damu".

Padre siku ya Mazishi ..ndo watu walijua kumbe hata watumishi hawa Wana Hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nadhan, kwa Mwanamke Huru, anayejiamin, asotetereka, ambaye kwake Maisha ni Uhai........ .......... Hawezi kaaa vumilia Kipigo cha aina hiii.

Jana nikiwa Kazin, analetwa Mmama wa miaka 43 na kaka yake, mmama hata kuhema hawez, ukimgusa Mikono analiaa..ukigusa tumbo analia..ukigusa mbavu. Mgongo, kichwan yaan nikulia , kavimba mwili wote ...

Nikauliza nini??? Et Mumewe alikua anampiga na kuni Juzi, Lijamaa likakataa katakata kumleta Hosp, Majiran ndo kumpigia simu Kaka wa Mwanamke, Kaka kaja kambeba Mdogo wake kaenda polisi kwa pf3 , ndo sasa akamleta .

Bahati nzuri kwa vipimo nlivoagiza, Mama hajapata tatizo hatarishi.

Kuna kakipigo..kuna kipigo..kuna Likipigo...... Acheni ujinga,, Alochomwa na Gunia la Mkaa, hakuchomwa akiwa hai.... Bali alipigwa kipigo, kikafuata Likipigo ndo akafariki.... Kwaiyo swali la wapi nimpeleke???nikifukia mifupa wataipata..nifanyaeje??? "Ndo lilipelekea Jamaa kumchoma kwa Gunia mbili".

#wanawake pambaneni kua Huru, kwa mwanaume mjinga? Ili akuheshimu ni lazima Uwe na cha kwako[emoji23][emoji23]..mtabisha ila ukweli ndio huoooo.......

Na km umeolewa/Uliozeshwa kwa kupunguza mzigo/upepo wakisulisuli...ndo hayo yanawakuta.
dah'...!!
It's a way touching kwakweli, kitendo cha kupigwa kila siku and still mtu bado unarudi ulipopigika mie siafikini nako!
Na ile mindset ya 'ndoa ni uvumilivu' tunaitumia vibaya sana nadhani.! Utavumiliaje vipigo kila siku!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya uvumilivu na ujinga nadhani hapo ndo tunashindwa tofautisha.!!

Hilo suala la wanawake kuwa huru, subiri kushukiwa hapa kama mwewe.!! 😂
 
Back
Top Bottom