Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,429
- 191,723
😂😂😂😂😂 Kimsingi mwenyewe sipendi kuombwa hela ila Gym siendi wala sishindi saloon. Ila sasa juzi nimepata kidosho kinatangaza njaa balaa hela zinanitokaje 😃😃😃!!!Lizarazu wewe ni mwanaume mimi ni mwanamke.. Ndio nawajua hawa wanaume vizuri.
Asilimia ndogo????? Zaidi ya asilimia 50 wanaume mi wadangaji, na ambao hawadangi huwa wanaingia kwenye mahusiano ambayo hawaombwi hela... Yaani ambayo mwanamke anajisimamia kila kitu.
Wanaume wa shoka waliobaki ni asilimia 20 tuu.
Kuhusu kutokusoma nimesema maana wengi sikuhizi hawapendi kazi ngumu na ukizingatia hawajasoma... Kifuatacho ni kushinda jim na saloon wawe wazuri wakadange.
Nakwambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napata tabu kweli maana sikuwahi zoea hali ya kuhonga hela mamanz. Na hapa kodi yake inakaribia kuisha nadhani ndio utakuwa mwisho wa haya mahusiano coco. Wimbo wake mkuu ni..."mie siwezi kuwa na mwanaume ambaye hanisaidii chochote, sa si bora niwe mwenyewe tu maana sikuhizi unasaidiwa kukazwa tu!" 🤣🤣🤣
Aisee wanaume wenzangu mnao deal na sampuli pasua kichwi hii mungu awarehemu jamani. Sijamaliza hata mwezi nae ila ni shiiiida tu wacha nitulie na mke wangu wa mda mrefu tu maana yeye ndio anastahili hela zangu kwa hakika.