Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Hiyo saa 12 nilienda kubishana na mashabiki wa man U kibanda umiza si unajua tena nilienda kuwapa support wazee wa YNWA... I am always against Man U
Wewe ulikimbia nilibaki mimi, Karma na Lizarazu hadi mida ya saa 12 hivi.
Lizarazu akatoka zake si unajua tena wanaume kushinda nyumbani kutwa nzima hawawezi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu ugomvi ninaouanzisha nitajuta.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana jamani sehemu nilipo mbona huwa natajaga ya ukweli yaani kama nipo nanjilinji huwa nasema tu nipo nanjilinji wewe usimsikilize Relief Mirzska huyo hiyo source yake aliyoituma kunifuatilia ndiyo inampoteza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha ha sidhani kama ana source, huwa anabahatisha tuu.
 
Hivi unatumia browser eenh??

Mimi sijui kwanini browser hainibariki jamani nimejaribu hadi kufuta app ili nizoee browser ila wapi mbona nimeirudisha app mwenyewe!!
Natumia zote mbili kwa pamoja.
Nikitaka notifications natumia browser. Jaribu hadi uzoee
 
Ha ha ha ha sidhani kama ana source, huwa anabahatisha tuu.
Alikisia tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule brother Naye kwa kukisia kisia mambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alishindwa kuniuliza hata mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ma wife material mida yetu ya kupika ni hii, labda tukaolewe kwa trump au eliza maana wanaume wa kule ndiyo wanatuelewa wanawake kama sisi.

Akina Atoto
Kwakweli, wanaume wa bongo ukichelewesha chakula tuu wanabadilika hadi rangi.
 
Probably unamtafuta cute b haiko mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe upo team gani!??

Kuna watu wameing'ang'ania Manchester jamani dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]
Wanatia nayo huruma yaani
 
I five minutes, hapo ndio mpira wa dkk 90 unaanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani halafu kutwa kutusema wanawake tunawachelewesha kwenye safari ila na wao hawajui tu wanavyotuchomesha mahindi majumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa usiombe awe kabet halafu timu aliyobet ifungwe kiruuu
 
Back
Top Bottom