Rolling my eyes likeI only imagine how you pronounce the word 'murdered' while rolling your beautiful eyes..!!
Be a good girl babes, always tell them what they want to hear..!!
I hope you are doing better now.. Hata kama sijui.Duh!
Msala[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naunga mkono hoja.Yaani mimi nipate mtu anayenijali, aneyenipa heshima, mkweli na asiyependa ligi zisizo na msingi halafu niwe namchukulia poa poa kisa tu hisia zangu hazipo kwake, halafu wakati huo huo eti kuna lingaba ndio limenishika akili linanifanyia vituko vya kila aina ila mimi navumilia tu na nnalinyenyekea kwa sababu sitaki kulipoteza... Haloo my self-consciousness is too active now to spare me that permutable folly. [emoji12][emoji12]
I hope you prayed for me and your country.I hope you are doing better now.. Hata kama sijui.
Ulimuona sema haukujua kama ni yeye.Kumbe nyie mapacha??? Duh! Mbona sijawahi hata siku moja kukuona kule???
I didn't buy that. [emoji29]Ameridhika???
Huyo ana ushauri wa kukupa kweli unaostahili Asante?Best mambo??
Ahsante kwa ushauri best wangu
Nilishakwambia maswala yanayohusu ndoa yako uwe unakuja kwangu.Yaani mimi nashauriwaga. Jana tu nimeshauriwa kitu kimoja hatari sana ambacho kinaweza vunja ndoa yangu. Lakini washauri wangu watakuwa wapo fesibuku.
Nimeshamjibu sweetie.Japo hata sijajua kule wapi! Ila twinnie cute b ukitoka ibadani nisaidie kujibu hapa..!!
There is only liquide flowing from my eyes. I can't stop laughing nikirudia kuangalia hiyo Gif. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhaaa..!!
Why yo so funny babes??
Humuamini uwezo wake wa kushauri au??Huyo ana ushauri wa kukupa kweli unaostahili Asante?
My country? Of course I did, and as for pal... You should have seen how happy I was during intercession prayer .I hope you prayed for me and your country.
How are you??
Ndio[emoji23][emoji23][emoji23]Humuamini uwezo wake wa kushauri au??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JasiriiiSiogopi[emoji23][emoji23]
Hebu muache mwenzio.Nilishakwambia maswala yanayohusu ndoa yako uwe unakuja kwangu.
Mjini hapa ukiachwa sijui utaenda wapi.
Thank you very much.My country? Of course I did, and as for pal... You should have seen how happy I was during intercession prayer .
Kabisa unamuambia vumilia tu ndiyo mumeo huyo kumbe moyoni unajua mwenyewe unachokiwazaNdo maana sahii nishasema nakushauri vizuri kabisa ukiniletea case ya mahusiano, yaani nakuambia kile unataka kusikia.!!
Kabisa yaani sijui wanatakaga waelewe somo wakiwa ahera??Wengine hadi wachomwe na magunia ya mkaa ndio wanaelewaga.