Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Nakupaje kesi sasa?? Halafu unaingia misa ya ngapi Leo wewe??Halafu mbona kama unataka kunipa kesi hapa
Nakupaje kesi sasa?? Halafu unaingia misa ya ngapi Leo wewe??Halafu mbona kama unataka kunipa kesi hapa
Nakuona tu, leo nasali hapa hapa kwanguNakupaje kesi sasa?? Halafu unaingia misa ya ngapi Leo wewe??
Uniombee. Uniombee sanaNakuona tu, leo nasali hapa hapa kwangu
Nakuombea sanaUniombee. Uniombee sana
Daah kama hiyo kitu yenyewe ndiyo inapelekea mambo kuwa hivyo basi hiyo kitu ni bora nisiipate tu kwa kweliHujapata ile kitu yenyewe haswaaaaaa
Thubutu yake.Daah kama hiyo kitu yenyewe ndiyo inapelekea mambo kuwa hivyo basi hiyo kitu ni bora nisiipate tu kwa kweli
Say ma name beib, "Dj Khalid "Haha.
Spend money for no reason..!!
[emoji28][emoji28][emoji28]bado itakuwa anamtafuta RasHaha.!!
Nami niko hapa nasubiri ajibu.!
Yaani mimi nashauriwaga. Jana tu nimeshauriwa kitu kimoja hatari sana ambacho kinaweza vunja ndoa yangu. Lakini washauri wangu watakuwa wapo fesibuku.Wewe siyo mgeni kwa Watz, tuvumiliane tu, thithi thithi ndo baba dhao na thithi thithi ndo mama dhao.!!
Maumivu hayazoeleki.Sasa kama tutakubali iwe hivi mpaka mwisho, basi hata kuumizana yatupasa tuone ni suala la kawaida tu na tulizoe kabisa.
Poa Best. Habari ya wewe.Best mambo??
Ahsante kwa ushauri best wangu
Much respect to you.Poa Best. Habari ya wewe.
Best umeona mimi ninavokupaga ushauri High Quality? Na siachi kukushauri kwa taarifa yako.
😁😁😁😁Thubutu yake.
Unaanzaje kuikosa???
Thank you.Much respect to you.
Usimsikilize yeyote anaesema usishauri. Nina zawadi yako best
Unanitafsiri vibaya rafiki.Thank you.
Sema best nikikupaga vitu vinavokuchoma moyo kunako nakaa miezi na miezi sijakuona[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Maumivu ya kipoa ndo unakuja. Sio poa ujue.
Poa best.Unanitafsiri vibaya rafiki.
Mimi wa hapa hapa MMU
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] una vituko kweli wewe aya embu tutafute basi maana yakeNimekuta ni mjane.!
Ndo maana sahii nishasema nakushauri vizuri kabisa ukiniletea case ya mahusiano, yaani nakuambia kile unataka kusikia.!!Umeona eenh wanaleta kesi wenyewe halafu ukiwashauri baadaye wanakuja kukusaliti
Mimi kujikuta mama ushauri siku hizi nimekoma maana kina yuda iskariote wako wengi