Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Kwenye huu uzi kila mtu hashauri wanaopendana. Sasa hawa wanaonishaurigi mimi wanaishi sayari gani? Au labda hawapo jf[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe siyo mgeni kwa Watz, tuvumiliane tu, thithi thithi ndo baba dhao na thithi thithi ndo mama dhao.!!
 
Lakini mkuu kuna watu wanajidanganya tu kwamba wanapendwa kumbe hawapendwi mtu anayekupenda anaweza kukupiga hadi kukuua au kukuchoma visu kweli
Naomba hapo mwisho wa swali lako malizia, 'discuss'..!!
 
Hujiulizi watu kila siku ugomvi na kudundana lkn unashangaa mtu yupo tu na baada ya siku kadhaa mtu mimba hiyo.
Nimeshughudia mwanaume anamdunda mkewe mbaya, mke kusepa jamaa akaenda kuomba radhi watu wamerudiana.


Mapenzi pia ni uchizi aisee[emoji3][emoji3]
Lakini mkuu kuna watu wanajidanganya tu kwamba wanapendwa kumbe hawapendwi mtu anayekupenda anaweza kukupiga hadi kukuua au kukuchoma visu kweli
 
Hahaha..!! Mumie umenifurahisha tu hapo 'wooi, mimi ni nani hata nitake kujifanya nina huruma kumzidi muumba!!'
Mimi ndo nishakuwa nadhani mchonganishi wa mahusiano ya watu sana, na sijui kwanini wananiletea kesi zao na wananiamini hasa japo nawashauri upupu na luckily hawaufuati wanaishia kunisaliti kungwi.!
Umeona eenh wanaleta kesi wenyewe halafu ukiwashauri baadaye wanakuja kukusaliti

Mimi kujikuta mama ushauri siku hizi nimekoma maana kina yuda iskariote wako wengi
 
Hujiulizi watu kila siku ugomvi na kudundana lkn unashangaa mtu yupo tu na baada ya siku kadhaa mtu mimba hiyo.
Nimeshughudia mwanaume anamdunda mkewe mbaya, mke kusepa jamaa akaenda kuomba radhi watu wamerudiana.


Mapenzi pia ni uchizi aisee[emoji3][emoji3]
Kuna mapenzi halafu kuna ukurya,, hapo hamna mapenzi huo ni ukurya tu wanafanyiana hapo..

Ati kwao kupigana ndiyo kupendana?? Ozu over my dead body!!
 
Kila tamu haikosi chungu , hata Fundi (engineer) wa umeme kuna muda hupigwa shoti... Anakaza moyo kisha kazi inaendelea kana kwamba hakuna kilicho tokea [emoji21]

L-lake of sorrows
O-ocean of tears
V-valley of death
E-end of life

Haya mapenzi aisee, kikubwa ni kuwa mvumilivu tu...
 
yo smart, yo loyal and I appreciate that.!!
Go buy yourself a house, go buy your whole family houses.
DJ KHALED-Slowdown


Chorus:
Oh girl
You smart
And you loyal
So don't waste your time on someone who ain't worth it
You smart
And you loyal
Please don't give your all to someone who can't give you the same


Verse:
You've been through your share of tears
It's hard to let go of your fears
You deserve some who won't take you for granted
Or play with your heart cos


Chorus:
You smart
And you loyal
So don't waste your time on someone who ain't worth it
You smart
And you loyal
Please don't give your all to someone who can't give you the same


Verse:
You deserve someone who puts you first
Someone who ain't fucking all these girls on the side
Who's there when you need him
Oh girl that's why you deserve better than me


Chorus:
You smart
And you loyal
So don't waste your time on someone who ain't worth it
You smart
And you loyal
Please don't give your all to someone who can't give you the same

Bridge:
And i'm
Sorry i'm so fucking selfish

And i'm
Sorry that i just can't help it


Chorus:
You smart
And you loyal
So don't waste your time on someone who ain't worth it
You smart
And you loyal
Please don't give your all to someone who can't give you the same

Ohh the same

Trust me when i say that
I don't wanna hurt you
But i can't do this
Oh girl
Started out just fucking but i know you fell in love
You shouldn't feel like you're asking for too much when I can't give enough
I don't wanna have to lie
Bout you being the only girl on my mind
I don't wanna have to lie
When you say you love me and expect a reply
I'll just let you down again and again
Girl i'm still the same i thought i could change
I don't wanna bring you any more pain
Oh no
Oh no
Oh no
Oh girl i'm sorry

Produced By
Yllis
Release date: August 2016.

Y'all are smart for appreciating this song.
 
Back
Top Bottom