DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,011
- 30,896
Wapenzi wakipigana shika jembe ukalime
Jamani, umegonga mule mule, 'desperation na upweke' hii ndo huwa sababu kuu ya kurudi kule ulikotoka! Mazoea ni kitu kibaya sanaa!Nadhani tatizo linalotushinda wengi ni upweke. Kwa kweli kuanzisha mahusiana mapya baada ya kuachana ni process inayohitaji muda na uvumilivu wa hali ya juu. Maana kuna wanaotaka kuanzisha hayo mahusiano lakini imeshindikana maisha yao yote.
Hivyo mtu anapokutana na hiyo changamoto ngumu ya kuanzisha uhusiano mpya anaona bora ajirudi taratibuuuu kwa basha wake wa zamani ili kupunguza upweke.
Na kweli zimwi likujualo alikuli likakwisha, yaani mara nyingi kurudiana ni rahisi sana kuliko kuanzisha relationship mpya hasa kwa wadada. Maana unaweza kusubiri weee usipate jamaa wa kukutongoza au ukatongozwa na magumegume zaidi ya lile uliloliacha.
Wakati huo upweke umeku-tight kweli kweli na huko very desperate kuwa na mtu. Haya mambo ni shida aisee.
Nipo dunia nyengine rafiki. Unajua yanayonisibuAhadi ilikuwa jana sio leo
HahahahahahahahaahahahahaHapa umempiga chura teke. Hata haujanikomoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtetee tuHa ha ha ha najua Khantwe hawezi kukushauri hivo.
Lazima atakuwa mtu mwingine.
Sijakuuliza wewe hahahahaahahEnhee
Ilikuwa mchana mchana hivi, ukaandika gazeti refuuu kuninanga halafu kuepusha Shari nkasema ok, uliwaka kinoma 😀😀😀😀Ipi hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaahahahDuuh, tunakutongoza au sio[emoji23][emoji23]
Wamenijibu huko juu kuwa ni spinster mkuu.!!
Na nani???😀😀😀😀😀😀Hahaha.!!
Nimeumia sana babes.!! Hili halikuwa lengo langu'.. Ngoja nimuambie Relief kuwa anapendwa sana!!
Nipo dunia nyengine rafiki. Unajua yanayonisibu
Usilie sasa twin sis[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hahaha.!!
Nimeumia sana babes.!! Hili halikuwa lengo langu'.. Ngoja nimuambie Relief kuwa anapendwa sana!!
Khantwe anajua yanayokusibu?Nipo dunia nyengine rafiki. Unajua yanayonisibu
Hata mimi najua. [emoji23]Sijakuuliza wewe hahahahaahah