Kimeshamkuta kitu 😆Usithubutu kumtamkia au kumtongoza mwanaume yeyote hapa duniani bidada utajutraa..
Nimeona ndugu jamaa na marafiki kilichowakuta kwa upuuzi huo..ni mwendo wa vilio hadi nawaonea huruma mweeh!
Usithubutuu....
Umeniwahi nilitaka kuandika hivihivi🤣🤣🤣🤣Watu mnafukua makaburi yawa filisti aisee [emoji23][emoji23]
Wayback 2017[emoji2960][emoji2960][emoji849][emoji849]Kimeshamkuta kitu [emoji38]
Currently. Leo/ jana kaweka Uzi wa malalamiko.Wayback 2017[emoji2960][emoji2960][emoji849][emoji849]
We acha tu..ndo udhaifu wetu huo mkuu [emoji848]Angefata huu ushauri...bahati mbaya hashauriki
Vipi alikula mzigo yaani ALIKUNYANDUA?Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta
Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
Mbuzi alijipeleka mwenyewe kwa muuza supu alitegemea ninindo malipo yako haya
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Wenzio tushazaa na mtoto wewe unaibuka leo?! Uzi wa 2017 huu mjomba, tayari kuna uzi wa mrejeshoDah sikujua kama unanipenda mimi nilikuchukulia kama dada yangu any ways sio mbaya Nakupenda pia Lini unakuja ghetto tutest mitambo ni mm mfanyakazi mwenzio
Vipi alikula mzigo yaani ALIKUNYANDUA?
#YNWA
Kumbe aligoma kumfata ushauri wangu na sasa yana mkuta..!!!Pita hapo mkuu ujioneeAcha niseme ukweli ili nipate kuwa huru
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa...www.jamiiforums.com
Sasa ndo umeamua kuja kusemea hapa??.Si ungeniambia tu,Wala nisingekufikiria vibaya.Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua tunafanya kaz ofci moja baadae Mimi nikahama ila tunaonana Mara kwa Mara...jmn nimetokea kumpenda sana yaan Sijui nini kimenikuta
Muda mwingi nakuta namfikiria tu....ninamazoea nae kama rafiki so hua tunachart mambo ya maisha tu na kushauriana ....ikipita hata siku hajanitext moyo unaniuma sana yaan mpaka nakosa raha
Jamaa ni mtu mwenye msimamo mpaka unapenda....hapendi mazoea na wadada ovyo....ni mkimya sana kwanza kuongea nae tu ujipange bt Mimi nimetokea tu tukawa marafiki
Binafsi sitegemei kumwambia nampenda ila ndio nateseka sana nataman hata nisiwe na urafiki nae maana namuonea wivu mpaka anajua....Sijui nifanyeje wapendwa
You are really a Lady in action.Najikojoza mwenyewe kwa wiki Mara mbili(selfie) so kwa hilo halinisumbui
Nipate link mkuu. What happened.Wenzio tushazaa na mtoto wewe unaibuka leo?! Uzi wa 2017 huu mjomba, tayari kuna uzi wa mrejesho
Na Hawa ndio WAKE ZENU.Najikojoza mwenyewe kwa wiki Mara mbili(selfie) so kwa hilo halinisumbui