Kweli nimepatikana siamini

JILIPUE DADA..MWITE SEHEMU TULIVU...TAFUTA WRITING PAD..ANDIKA UJUMBE WAKO KWA UFUPI KABISA JUU YA HISIA ZAKO KWAKE..HALAFU MKIWA MEKAA SEHEMU MKABIDHI BAHASHA AISOME WAKATI WOTE MPO PAMOJA..HALAFU USUBIRI JIBU LAKO PAPO HAPO..USIUMIZE KICHWA...SASA HAPO KUNA MAMBO MAWILI..HUENDA AKAKUKUBALIA KWAKUWA AMEKUPENDA PIA...AU AKAKUKUBALIA KWAKUWA WEWE NI MWANAMKE UNAEFAA KWA MATUMIZI YA KIMWILI MAANA KIMSINGI MWANAUME HUWA HAKATAI MWANAMKE TENA KAMA UNA MWONEKANO MZURI..MSTAARABU..UNAJIPENDA N.K
 
Sikia bi dada, huyo jamaa hamna haja wala ya kumwambie, fanya kitu moja sisi wanaume tunapenda, onyesha kumjali, onyesha kumpenda kutoka moyoni. Automatic mtajakuwa wapenzi bila hata mmoja kumwambia mwenzie.
We ndio umenidanganya kabisa...nimempigia sasa hv yaan anaongea kama hataki daa. Nimefuta namba yake Namuomba Mungu anisaidie nisimfikirie kabisa naomba Mungu anitie nguvu da!!!
 
Hayo ni maongezi anakuambia kua anamda flan hajaingia watsap...ni mtu msiri sana na makini na mambo yake so ni ngum kumjua anakupenda au lah! Japo nikimaliza cku cjamtafuta hua analalamika mbona umenitenga Sijui nn yaan Mimi hata simwelew asee
Hayo ni maneno tu, huyo ni mla papuchi mzuri kabisa, take it from me...
 
Mi nina shida na namba yako lady in action
 
Kumbe kuna wadada madomo zege [emoji23]
 
We ndio umenidanganya kabisa...nimempigia sasa hv yaan anaongea kama hataki daa. Nimefuta namba yake Namuomba Mungu anisaidie nisimfikirie kabisa naomba Mungu anitie nguvu da!!!
Au nawewe huna muonekano mzuri?? Huna shepu mapaja mazuri na chura labda.
 
Le profeseri mama wa mboga za milioni 10 anasema jinsi unavozid kupanua ndivyo watu wanavyozid kutaman au siyo? na wewe the more you get closer and thinking much about him huwez kuachwa salama na hayo mahaba mazito....................
 
Umenichekesha sana aisee
 
We ndio umenidanganya kabisa...nimempigia sasa hv yaan anaongea kama hataki daa. Nimefuta namba yake Namuomba Mungu anisaidie nisimfikirie kabisa naomba Mungu anitie nguvu da!!!
Ndicho nachokwambia mwanamke mwenzangu hapo tu umepiga simu umenyaliwa sasa ongezeahapo hapo na kumtongoza[emoji15] [emoji15] [emoji15] ...yaani ni utaonekana ambiance full..

Ni vile tuu kuforce mambo lkn kiuhalisia mwanaume ni wa kumfata mwanamke kimapenzi....

Humu wanaume wanakuzingua ili uharibuu ( coz yeye hujui kama anakupenda kimapenzi au kishkaji tuu)
 
Mpe makavu tu
 
Wee jiachie tuu, acha kuubania moyo wako
 
Si wakwako, tafuta wako! wewe unafikiri hana mwanamke? lazima anaye, na kama hana basi ana matatizo huyo, we endelea na ustaarabu wako!
 
Mpende anayekupenda, utaliwa bure kumbe mwenzio ana mshelisheli wake umetulia kivulini..!

Nyie wavile majuto yenu huwa ni makubwa sana..!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…