toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,107
Kweli kila jambo lina mwanzo na mwisho wake. Kwasasa abiria kabla hajapanda bodaboda cha kwanza anakuuliza kama una kofia ngumu (helmet) ili umpe aivae kama hauna huyo abiria atatafuta bodaboda ingine. Jambo la kupakia mishkaki kama zama zile kwa sasa akibainika hatua ya kwanza atachukuliwa na uongozi wa kijiweni Kwake anapopaki pikipiki yake
Hii ni ishara tosha kabisa kuwa Mhe rais wetu John Pombe Magufuli amerudisha heshima nchini, tuzidi kumuombea kwa Mungu ampe afya/umri mrefu na tushirikiane nae kupambana na hao mafisadi wanaotaka kuiba rasilimali za nchi yetu