sitaki kuamini kuwa aLimfosi huyo demu wako akukatae,ila naamini kuwa huyo demu alifanya hivyo kwa hiari yake mwenyewe baada ya kukubaliana na huyo mr wake mpya,Msichana,niliepanga kufunga nae ndoa na tena anafahamika hadi kwetu,amenifanyia mambo ya ajabu.
Ilinichukua miezi minne tangu nionane nae mara ya mwisho.Tukiwa gest nikakuta kuna namba mbili moja kasevu LOVE na nyingine SWEET.Namba hizi zote ni za mwanamme mmoja anatumia mitandao miwili tofauti.
Nilipomuliza alikiri,na kuomba msamaha mimi nikakubali.
Cha ajabu siku nyingi baadae akanipigia simu kidume wake akanichimba mkwala,na pia alimfosi demu wangu aongee mbele yangu kua hanitaki,kweli alifanya hivyo.Nami nikwamwambia sawa.Hatimaye akanambia nisimpigie simu.Lakini nashangaa yeye ndo amekua wa kwanza kunipigia,kunitumia meseji na kuniomba hela na wakati mwingine anajifanya ananisalimia.Je!Nimjulishe mtu wake?

Amin amin nakuambia huyo binti hakuwa na chembe hata kidogo ya mapenzi na wewe,alichokuwa anakifanya kwako ni kama ofisi tuu,yaani kuja kukuchuna na kwenda kutumia na mwanaume mwenzako,mabinti wa dizaini hiyo wapo wengi,yaani wanakuwa na mwanaume wanayempenda kweli lkn hana kitu,hivyo wanatumia miili yao kuwatafutia pesa ving'asti wao.Pole sana kaka!!!Msichana,niliepanga kufunga nae ndoa na tena anafahamika hadi kwetu,amenifanyia mambo ya ajabu.
Ilinichukua miezi minne tangu nionane nae mara ya mwisho.Tukiwa gest nikakuta kuna namba mbili moja kasevu LOVE na nyingine SWEET.Namba hizi zote ni za mwanamme mmoja anatumia mitandao miwili tofauti.
Nilipomuliza alikiri,na kuomba msamaha mimi nikakubali.
Cha ajabu siku nyingi baadae akanipigia simu kidume wake akanichimba mkwala,na pia alimfosi demu wangu aongee mbele yangu kua hanitaki,kweli alifanya hivyo.Nami nikwamwambia sawa.Hatimaye akanambia nisimpigie simu.Lakini nashangaa yeye ndo amekua wa kwanza kunipigia,kunitumia meseji na kuniomba hela na wakati mwingine anajifanya ananisalimia.Je!Nimjulishe mtu wake?
Msichana,niliepanga kufunga nae ndoa na tena anafahamika hadi kwetu,amenifanyia mambo ya ajabu.

move on she doesn't deserve you..........................you are worth much more than loitering around with fools...............hili la kujibizana na wapumbavu linamaanisha hata wewe una matatizo........................umedhalilishwa lakini bado unajikaza kisabuni....................achana nao wapumbavu hao......................
ujinga mwingine
wanaume tunaukaribisha wenyewe, na mtu akijua huna akili
anaishia kukushika masikio
mkuu hicho ni kicheche tu achana nachon na viko vingi sana humu tunamoishi
mtafute dada yeyote amsemee mbovu kama alivofanya jamaa yake halafu mpotezee jumla