Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Feb 13, 2014 #41 Hata wakikupenda unafaidi nini.
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Feb 13, 2014 #42 Jamani pole kwa yote usiwaze sana maana watu wengine wapo kwa kuwaudhi wengine na kuwa kebehi tafuta Furaha kama jina lako linavyo sadifu.kila la kheri Ladyf Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jamani pole kwa yote usiwaze sana maana watu wengine wapo kwa kuwaudhi wengine na kuwa kebehi tafuta Furaha kama jina lako linavyo sadifu.kila la kheri Ladyf
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Feb 13, 2014 #43 Pole sana cousin,yatapita na huwezi chukiwa na wote!tupo tunaokupenda!usife moyo
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,542 Feb 14, 2014 #44 sio kwamba unachukiwa bali ni matendo yako huwa unakurupuka unacomenti vitu vinavyokera wengine