Kweli nimechukiwa na wengi

Pole sana bestito japo sielewi tatizo ila kua mpole tu pakusawazisha fanyahivo. Hayo mengine yatapita tu kama upepo usijali,mambo hayawezi kua sawa sikuzote 365 lazima yayumbe kidogo ili uzidi kua imara.
 
Be positive minded my dear.Inawezekana hiyo chuki ni wewe unai create mawazoni mwako.Biblia katika kitabu cha methali(nimesahau ngapi) Inasema aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.Na hata Whitney Houston aliimba kuwa the Greatest love of allis to love yourself first.Anza wewe kujikubali na kujipenda then automaticaly wengine watafuata.
Mungu akubariki sana na Amani ya Mungu ipitayo akili zote iwe nawe.
 
Amen!!!
 
Pole sana my wii,usijali tupo pamoja.
 
ladyfurahia...........si rahisi kufurahisha kila mtu katika hili jamvi wala katika dunia hii! wapo watakaokupenda, ukianza na wewe mwenyewe, na wapo watakokuchukia etc. Just be yourself! Kumbuka hii ni jf and you deal with IDs, so jaribu kuwa mwangalifu!
 
Last edited by a moderator:
Asante bestito kwa kunitia moyo nimeamini kuwa jf wako wengine watakupenda na wengine watakuchukia asante sana ubarikiwe
pole sana bestito japo sielewi tatizo ila kua mpole tu pakusawazisha fanyahivo. Hayo mengine yatapita tu kama upepo usijali,mambo hayawezi kua sawa sikuzote 365 lazima yayumbe kidogo ili uzidi kua imara.
 
thanks best nashukuru kwa maneno yako yakunifariji
be blessed
 
nashukuru kwa kunitia moyo bestito ubarikiwe nitakuwa mwangalifu best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…