Kweli nimechukiwa na wengi

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini

Leo bandugu acha niseme wazi kabisa hapa kwani
Inanisikitisha kila ninakopita utasikia wewe mkarifonia
ni nani aliyekuloga mpaka uwe hivyo.

Chakushangaza kabisa wengine wanakutwangia kesi
zisizo za kwao kazi yao moja ni umbeya tu umewakalia

UTASIKIA WAKISEMA OVYO MJENGONI:

mara hooo! wewe mhaya una nini mkononi mwako?
utakuta hata mtu humjui lakini naye yumo kushadadia
kisichomhusu utadhani alikuwa anakijua zaidi ya kuperuzi.
Udaku humu mjengoni umekuwa ni mwingi sana
wala hakuna ambaye anaweza kufanya kitu kikawa kitu,


Nabaki nashangaa nisijue la kufanya wala kutenda pia
kwangu inakuwa ni kama naota ndoto za mchana vile
Na kumbe ni usiku wa saa sita.

Inanikumbusha zama za mawe, watu walikuwa
wanapendana, wanaheshimiana na kufanya kitu pamoja
hawana jambo la kimsingi kwa faida ya wengine
sio siri wamebaki kunena hata kama ni bazazi group.
Nimekereka sana kwani wengine wamebakia kunichukia
chuki zisizo namsingi wowote isitoshe walikuwa ni watawa
wangu mashogagi wangu wa mwandani kumbe ndo adui zangu

Kweli nimeamini MFADHILI MBUZI KULIKO MWANADAMU.

SIKUTEGEMEA KUCHUKIWA KIASI HIKI MPAKA NAJIONA :suspicious:


Wasalaamu

Ladyf
 
kwani ndo wewe pia uliyefukuzwa kwenye familia au nimekufananisha
 
ndio mm wala hujanifananisha daddy kaongea na ukoo wote
kamwambia hata babu yangu asinitambue kabisa na wala
nisiende home kijijini kwani mm si wa huko sasa bestito nitafanyaje
hebu nisaidie hapo

na isitoshe hata mjengoni ameniambia nisitokee kwani atafanya 😛hoto:
kila kona
kwani ndo wewe pia uliyefukuzwa kwenye familia au nimekufananisha
 

Hili tatizo ni kubwa linaitaji wazee wa busara kulitatua tukienda mashost tutatimukiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…