Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,609
Imedhihilika kuwa combination ya ushindi ya CCM ni Nape, Mwilgulu, Lusinde na Wassira, Hilo linadhihilika zaidi kutokana na chaguzi nyingi za hivi karibuni zilizo fanyika. Team ambayo CCM wanaitumia zaidi ni hao waheshimiwa, Inaonekana ndio the best of the best kati ya thinktank ya CCM, Lakini, je ni kweli kuwa wao ndio the best kwenye chama kikongwe kama CCM?
Kama jibu ni ndio, basi CCM haina wakongwe zaidi wenye busara zaidi ili kunadi sera zao? Na ni kwanini hao mabwana waheshimiwa ndio hupewa nafasi zaidi katika chaguzi na mikutano mikubwa mingi inayoandaliwa na CCM?
Je, CCM huwa wanafanya tathmini ya results baada ya chaguzi na mikutano mikubwa wanayoyoandaa? Na huwa wanapima kauri za "busara" mbalimbali kutoka kwa hawa mabwana? mfano kauri ya kutishiwa kwa meseji za simu ya Mh. Mwigulu, nk?
Nawasilisha