Kweli nimeamini Nape, Mwigulu na Lusinde ni combination ya ushindi CCM!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Imedhihilika kuwa combination ya ushindi ya CCM ni Nape, Mwilgulu, Lusinde na Wassira, Hilo linadhihilika zaidi kutokana na chaguzi nyingi za hivi karibuni zilizo fanyika. Team ambayo CCM wanaitumia zaidi ni hao waheshimiwa, Inaonekana ndio the best of the best kati ya thinktank ya CCM, Lakini, je ni kweli kuwa wao ndio the best kwenye chama kikongwe kama CCM?

Kama jibu ni ndio, basi CCM haina wakongwe zaidi wenye busara zaidi ili kunadi sera zao? Na ni kwanini hao mabwana waheshimiwa ndio hupewa nafasi zaidi katika chaguzi na mikutano mikubwa mingi inayoandaliwa na CCM?

Je, CCM huwa wanafanya tathmini ya results baada ya chaguzi na mikutano mikubwa wanayoyoandaa? Na huwa wanapima kauri za "busara" mbalimbali kutoka kwa hawa mabwana? mfano kauri ya kutishiwa kwa meseji za simu ya Mh. Mwigulu, nk?

Nawasilisha
 
Ndo majembe yao wanayo jivunia, mwingine umemsahau shigela hawana vijana wa maana zaid ya hao vilaza.
 
Usiwadharau, hao wanaijua sana sera ya CCM ya kutoa pumba, kutukana na kulala vikaoni kuliko mtu yeyote ndani ya CCM.
 
wewe ndugu yangu acha nikwambie kitu kimoja baadaya uchaguzi wa october 2010 ccm walitathimin na kugundua kuwa wazee umaarufu wao umeshuka katika siasa pia washibiki wakubwa wa siasa sasa hivi ni vijana, ccm baada ya kutambua hayo ikaona kijana waliyenaye ni nape lkn cha ajabu bado vijana hawamuelewi matokeo yake amekuwa wa kuropoka
 
Imedhihilika kuwa combination ya ushindi ya CCM ni Nape, Mwilgulu, Lusinde na Wassira, Hilo linadhihilika zaidi kutokana na chaguzi nyingi za hivi karibuni zilizo fanyika. Team ambayo CCM wanaitumia zaidi ni hao waheshimiwa, Inaonekana ndio the best of the best kati ya thinktank ya CCM, Lakini, je ni kweli kuwa wao ndio the best kwenye chama kikongwe kama CCM?

Kama jibu ni ndio, basi CCM haina wakongwe zaidi wenye busara zaidi ili kunadi sera zao? Na ni kwanini hao mabwana waheshimiwa ndio hupewa nafasi zaidi katika chaguzi na mikutano mikubwa mingi inayoandaliwa na CCM?

Je, CCM huwa wanafanya tathmini ya results baada ya chaguzi na mikutano mikubwa wanayoyoandaa? Na huwa wanapima kauri za "busara" mbalimbali kutoka kwa hawa mabwana? mfano kauri ya kutishiwa kwa meseji za simu ya Mh. Mwigulu, nk?

Nawasilisha
Umemsahau kiwete na pinda. Sii unaona wanapoandama jinsi mstari unavyonyooka?
 
Ndo majembe yao, tatizo sio wao tatizo ni kuchokwa kwa CCM hata apige kampeni Mandela bado watu wataona Miyeyusho tuu
 
Hapo wamekutana. mwigulu mzee wa kubeba fuko la mulungula,wasira mtabiri wa kifo cha chadema ndani ya mwaka mmoja,lusinde poromota wa matusi ukichanganya na nape mzee wa oil chafu ni patashika kwelikweli.
 
Ha ha ha nimeipenda hii
 
Sera zikiwa mbovu huitaji kuwa na watu wazur kuzizungumzia, hao ndio wanaoendana na ubovu wa wanaKIJANI...!!
 
shukran mods kuondoa threads za mwigulu na mbwa, otherwise he and all who supported really stained the party cause! Bado na timu nzima hapo juu needs a lot to convince mass on contrary. Hiyo ya mbwa drew them thousand miles back!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom