Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

MZIBHAZI

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
520
Reaction score
139
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae
 
Kweli mwanamke sio mwenzio hujui hilo ndugu.??
Mtapewa mshahara mmoja lkn mwenzio kila siku nguo mpya na gari/anamiliki..hela ya ziada atoa wapi..??..
Mtafanya mtihani mmoja wote mna HYPO ak.a number za viatu mwsho wa siku we utasup yeye walaaa...ujue nini...
TUMEBARIKIWAA...kuna vitu tunavyo we wa kiume huna...lol
Dunia hii banaaa....
 
sasa mwanamke atakuwaje mwenzio na wewe ni mwanaume!!!
kajituma kwa nafasi yake kapambana kapata gari lake, wewe umebaki kulalama tu, hakukosea kuachana na wewe kwa mtindo huu!!! mmmh!!!

mbona kama wamuonea wivu!!! vipi na wewe unataka gari?
bora tu tuolewe wote tujue moja, wanaume wenyewe ndio hawa kutwaa kulalamika kwenye mitandao!
 
Hahahahahaha nitake radhii mkuu niolewe!!!! mimi sijamuonea wivu like nimeshangaa miezi mitano kumiliki gari jaman nimeshangaa tuu
 
Jitume kutafuta pesa ununue gari zuri zaidi yake. Mwenzio alikuwa anatafuta njia ya kuachana na wewe, baada ya kuona na wewe ni michosho tu!
 
Mimi nadhani ubadilishe kauli iwe hivi "kweli mwanaume hela"

Maana Wewe ulikuwa unatoa visenti vya mboga ukajiona wa maana mpaka unaongea kwa nyodo kuwa ulikuwa unasaidia familia yao.

Wenzako wamehonga gari sasa na hata mawazo hawana
 
Ni kwelii unachoongea kila mtu anauwezo wake mkuu.but Silaumu eti alinitosa kwa kuwa sina
mkwanja au status as long as nina
POTENTIAL nitatoboa tu,we unasema
wa nini mwenzako anasema atanipata
lini!
 
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae
Usijifananishe na mwanamke hata siku moja.
Yeye ana rsilmali adimu, inayoweza kumpa kiwewe mwanaume hadi akauza kila kitu.
 
Sure nimeamin mkuu
Ila usikate tamaa mkuu!
Hayo yalisha nipata, binti alinitolea nje nilipotaka kumwoa, tena akasema mimi sina mkwanja, familia yetu masikini!
Binti alienfa kumfukuzia kijana mtoto wa balozi
Nikaenda kuweka kitabu, na kikakubali.
Fweza nikapata nje nje

Baada ya muda, nikapata bibie mrembo zaidi na nikamwoa, binti wa kwanza akataka kurudi lakini akakuta no vacancy!
Kimaisha mambo haya yanajirudia rudia.
We tafuta noti tu, akusikie kwenye bomba.
 
Kweli mwanamke sio mwenzio hujui hilo ndugu.??
Mtapewa mshahara mmoja lkn mwenzio kila siku nguo mpya na gari/anamiliki..hela ya ziada atoa wapi..??..
Mtafanya mtihani mmoja wote mna HYPO ak.a number za viatu mwsho wa siku we utasup yeye walaaa...ujue nini...
TUMEBARIKIWAA...kuna vitu tunavyo we wa kiume huna...lol
Dunia hii banaaa....

Ni sheeedaaah! Kitu gani hicho? Je ukianagalia ni kizuri kama ua? Au hadi gizani, mi sina hakika!
 
kwaiyo na ww unataman ungekuwa demu uwe unagegedwa uwe safi kimaisha?

Taratibu mkuu mbona manatafsiri vibaya sana nimeshangaa mtu within five months ana garii mpyaa naomba tuheshimiane please
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom