Sasa Kwanini Asingeolewa na Jamaa Wa Nyuma? Ameishi Nae For How Long Hadi Aje Kuolewa Na Uchebe . Ni Nyodo Tu Na Kujikuta Umli Haujaenda Na bata Zikiwasumbua. Now Umli Umeenda Ndo Anakumbuka Kuna Ndoa.Sasa mtu akiolewa asifurahi jamaani aonyeshe huzuni wakati maisha yenyewe mafupi haya.
Kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke hivyo ikitokea furaha muhimu bana.
Ndio ivo mkuuu baada ya 19-29/30 ..huwa zinazofatia ni maombi.Haahahah Ngoja Tu Watashtuka Umli Umewatupa Mkono. Sijui Nyodo Zao Wanazani Ndiyo Zitawaoa
Mmh. Mie huwa naamini kila mmoja ana rizki yake ukiona kaolewa na Uchebe basi jua ndio rizki yake hiyo.Sasa Kwanini Asingeolewa na Jamaa Wa Nyuma? Ameishi Nae For How Long Hadi Aje Kuolewa Na Uchebe . Ni Nyodo Tu Na Kujikuta Umli Haujaenda Na bata Zikiwasumbua. Now Umli Umeenda Ndo Anakumbuka Kuna Ndoa.
Hahaa. Kabisaaa.
Hahahahaah Ngoja Wafunge Kwaajili Yetu Siye Tutawatafuna Tuu ,Wakifika 35 Ndo Tunawaambia Watulipie Mahali Maana Anakuwa Hana Pakutokea. Na Hachomoki Hapo Ngoja Namimi Nivute Vute Kidogo Nije Niwatafune Sanaaaaa Nikirizika Naoa Mmoja Baada Ya Mwingne Naacha Maana Wao Ndoa Ni Fasheni. [emoji2]Ndio ivo mkuuu baada ya 19-29/30 ..huwa zinazofatia ni maombi.
Kitu kikubwa kinachonifurahishaga kuhusu Muda nikwamba "Haurudi nyuma[emoji23] [emoji23] ".
Putini wa bongoNikawa nashangaa ,MTU mmoja anasema "Kwan ndoa nini bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Nkamwambia ,kusema ndoa nini bana wakati unaitaman Alafu unaishia kudanga danga izo sio akili nitope lakufugia minyooo!!.
Kwani inaondoa hadhi ya uume wakoKila kiumbe kiolewe??? Tutake radhi wanaume kabla sijamimina mvua ya laana...
Kwahiyo mwanaume kuolewa kwako haiondoi hadhi ya uume wakoKwani inaondoa hadhi ya uume wako
Wanawake wote tunapenda ndoa ila na watu tunaowapenda lakini. Ukiona bado mtu anadanga ujue hajapata kiboko yake badoNikawa nashangaa ,MTU mmoja anasema "Kwan ndoa nini bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Nkamwambia ,kusema ndoa nini bana wakati unaitaman Alafu unaishia kudanga danga izo sio akili nitope lakufugia minyooo!!.
Hapana chezea[emoji116] [emoji116] [emoji23]
AmenNa kila kiumbe aolewe! Amen!
kila kiumbe?Na kila kiumbe aolewe! Amen!
Hahaaaaaaaa sure at that Age asipolipa maali yeye ,,basi ujue "Njoo tuishi wote"Hahahahaah Ngoja Wafunge Kwaajili Yetu Siye Tutawatafuna Tuu ,Wakifika 35 Ndo Tunawaambia Watulipie Mahali Maana Anakuwa Hana Pakutokea. Na Hachomoki Hapo Ngoja Namimi Nivute Vute Kidogo Nije Niwatafune Sanaaaaa Nikirizika Naoa Mmoja Baada Ya Mwingne Naacha Maana Wao Ndoa Ni Fasheni. [emoji2]
Duh!!tuolewe wote wanawake mwaka huu aamin[emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu umeifanya siku yangu kuwa njema, hapo pa kumsuuza moyo!!!mwanaume ni tulizo la mtoto wa kike,hata ukimtongoza mdada akakukataa,ila tayari umemsuuza nafsi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila kiumbe kiolewe??? Tutake radhi wanaume kabla sijamimina mvua ya laana...
Sawa sawa habari ya hapaPutini wa bongo
Na iwe kwako km ulivyosema.tuolewe wote wanawake mwaka huu aamin[emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapana chezea[emoji116] [emoji116] [emoji23]