Kweli nimeamini, maisha ni safari ndefu

Kweli nimeamini, maisha ni safari ndefu

sasa mbona kimya tunataka nyie akina j milionea mtupe mbinu jinsi ulivyofanikiwa na sio kama tunahitaji pesa zako ila tunahitaji mbinu ili tupate unafuu wa maisha
 
Mkuu njoo utodokeze umetoka kupitia biashara/kazi gani?

Biashara kaka sema uaminifu ndio umenipatia mtaji si unajua wachina,wahindi na wabongo wanamali nyingi sana kwenye magodown ukipewa kwa mali kauli ukumbuke kupeleka pesa ili ujijengee mazingira mazuri ya biashara.
 
Nakumbuka wakati huo nakuja mjini daresalam kutafuta maisha wakati huo mwanamuziki anae wika alikua ni mumini mwinjuma na kibao chake cha mgumba.Niko kwenye basi kibao hicho kinapigwa mwishoni kwenye kibwagizo"mkulima ameuza jembe sasa kakimbilia mjini,amejipachika uganga kumbe ni tapeli tu".Nakumbuka mbali ndio nimetoka bush nakuja kwa blaza mwenyewe ana chumba na sebule mwananyamala amepanga,kwenye basi nawaza mengi nikifika dar itakuaje?Mungu si asumani sasa nina mke watoto wawili nyumba gari tatu na kila aina ya mahitaji ya daresalam.

Umejenga mbagala au mbezi beach ?....ni gorofwa ?....unakunywa Heineken au Safwari ?....gari yako ni kama ya Ruge ?... I mean R R ?....mboga unatumia Tsh ngapi ?....una mzidi Anna ?
 
I'm a hustler's hustler, a pusher's pusher,You a buster a customer,i'm even supplying suppliers.

Nakumbuka wakati huo nakuja mjini daresalam kutafuta maisha wakati huo mwanamuziki anae wika alikua ni mumini mwinjuma na kibao chake cha mgumba.Niko kwenye basi kibao hicho kinapigwa mwishoni kwenye kibwagizo"mkulima ameuza jembe sasa kakimbilia mjini,amejipachika uganga kumbe ni tapeli tu".Nakumbuka mbali ndio nimetoka bush nakuja kwa blaza mwenyewe ana chumba na sebule mwananyamala amepanga,kwenye basi nawaza mengi nikifika dar itakuaje?Mungu si asumani sasa nina mke watoto wawili nyumba gari tatu na kila aina ya mahitaji ya daresalam.
Hata huelezi mabonde na mito uliyopitia ili wengine wajifunze?Umeeleza kifupi mno!
 
Maisha Ni safari ndefu bado hujafika. Endelea kusafiri kwenda mbele. Angalia usirudi ulikotoka. kila lenye heri.
 
Nakumbuka wakati huo nakuja mjini daresalam kutafuta maisha wakati huo mwanamuziki anae wika alikua ni mumini mwinjuma na kibao chake cha mgumba.Niko kwenye basi kibao hicho kinapigwa mwishoni kwenye kibwagizo"mkulima ameuza jembe sasa kakimbilia mjini,amejipachika uganga kumbe ni tapeli tu".Nakumbuka mbali ndio nimetoka bush nakuja kwa blaza mwenyewe ana chumba na sebule mwananyamala amepanga,kwenye basi nawaza mengi nikifika dar itakuaje?Mungu si asumani sasa nina mke watoto wawili nyumba gari tatu na kila aina ya mahitaji ya daresalam.

Weka picha.
 
Mi sidhani kama mtoa mada analengo la kujisifia....hakuna anaemjua hapa,kikubwa anatupa changamoto vijana kwmba unaweza kufanikiwa kimaisha ukijituma kwani yy ametoka kwenye umaskini mkubwa kijijini na kuja kufanikiwa mjini na kutuacha baadhi ya vijana wengi wa mjini tukikaa vijiweni tukisubiri kazi za kuchagua huku tukipiga story za manchester united
 
Well said! Hi anatufudisha kuwa tusikate tamaa. alivyojieleza ni kam hakuwa na kitu bali akili zake na nguvu zake. Hivyo wherever lipojenga ni kuwa ametoka hatua moja kwenda nyingine. Labda tu atuside wengine alivyojituma ili atu-motivate tuliokata tamaa.
 
Back
Top Bottom