Kweli ni peooples power!!!!

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
yupo wap kinana?yupo wap makamba?wakati tumeanza mchakato wa kampeni walikuwa na kelele sana hawa na kuja na propaganda zao,watu wakawaelewa na mashambulizi yakaelekezwa kwao,wakatambua watanzania si mabwege,sasa hawaonekani tena kwenye media kuuza sura na propaganda zao,hivi wapo wapi?
 
moja yupo bumbuli anawasiliana na wazee/ mzuka wake na mwingine anawasiliana na al,,amani ,,,,,,, jinsi ya kukabiliana na upinzani
 
yupo wap kinana?yupo wap makamba?wakati tumeanza mchakato wa kampeni walikuwa na kelele sana hawa na kuja na propaganda zao,watu wakawaelewa na mashambulizi yakaelekezwa kwao,wakatambua watanzania si mabwege,sasa hawaonekani tena kwenye media kuuza sura na propaganda zao,hivi wapo wapi?
Nafasi zao zimechukuliwa na Ridhiwani Kikwete, Miraji kikwete na Salma Kikwete!
 
yupo wap kinana?yupo wap makamba?wakati tumeanza mchakato wa kampeni walikuwa na kelele sana hawa na kuja na propaganda zao,watu wakawaelewa na mashambulizi yakaelekezwa kwao,wakatambua watanzania si mabwege,sasa hawaonekani tena kwenye media kuuza sura na propaganda zao,hivi wapo wapi?
"SHUKA KWA SHUKA",
Kwani umeshasahau?!
 
yupo wap kinana?yupo wap makamba?wakati tumeanza mchakato wa kampeni walikuwa na kelele sana hawa na kuja na propaganda zao,watu wakawaelewa na mashambulizi yakaelekezwa kwao,wakatambua watanzania si mabwege,sasa hawaonekani tena kwenye media kuuza sura na propaganda zao,hivi wapo wapi?

Kinana amechanganyikiwa na lile kombora alilonalo Dk Slaa litakoloripuka wiki ya mwisho ya kampeni... Yule jamaa kumbe ni msomali na ni memba wa Al Shabaab, na yule kijana aliyekamatwa Arusha kwa kulipua Kampala inasemekana amemtaja. Pia Kinana si analo lile soo la kontena la meno ya tembo melini... kwa kujua hilo ccm wameamua kumuweka kando mapema ili hali ya hewa isizidi kuchafuka.
Mzee Makamba yeye ameishashtukia hofu ya kushindwa ndio maana amekaa kimya baada ya kusoma alama za nyakati. DK Slaa anatisha bwana.
 
yupo wap kinana?yupo wap makamba?wakati tumeanza mchakato wa kampeni walikuwa na kelele sana hawa na kuja na propaganda zao,watu wakawaelewa na mashambulizi yakaelekezwa kwao,wakatambua watanzania si mabwege,sasa hawaonekani tena kwenye media kuuza sura na propaganda zao,hivi wapo wapi?

Ngoma ya watoto haikeshi, CHADEMA mziki mzito mafisadi wamechemsha. Nimesikia Kikwete kampiga marufuku Makamba kuingilia strategy za kampeni hasa baada ya kuona jinsi Makamba alivyoshinikiza chama kimpe pesa Mahimbo ili atangaze na kushtaki kaibiwa mke matokeo yake ni kwamba wamempa umaarufu zaidi Dr. Slaa tofauti na walivyotarajia.
 
jamani tusirudie kosa kwa sie wote tuliojaliwa akili za kujua jema na baya,ni wazi mabaya tushayaona nani mazito kuliko vile wengi tujuavyo.. changes ndio njiapekee ya mafanikio Mapya...

NATAMANI SANA SIKUMOJA NIPATE NAFASI YA KUMHOJI HUYU KIKWETI NA SERA ZAKE KWAMBA ILANI YA CHAMA CHAKE AMEITEKELEZA KWA ASILIMIA 90..... SO HII INATUPA PICHA GANI!!!! HAPA TULIPO SASA NA HALI HALISI YA MAISHAA YA MTANZANIA KWA SASA, NDO MWISHO WA UWEZO WA CCM NA JK KWA 90%??? KAMA NDIVYO BASI KUWAREJESHA MADARAKANI KAMA WANAVYODAI, NI KWENDA KUMALIZIA HIZO 10% ZILIZOBAKI..!! TUJIULIZO HAYA NDIO KWELI MAFANIKIO WATANZANIA TUNAYOSTAHILI???

JK anadai tusichague kwa majaribio!! wakatiyeye mwenyewe kama msomi kweli anatambua njia ya kulifanya jambo kwa umakini ni kulifanyia majaribio... tulimjaribu yeye 2005 lakini katuangusha.. sio vibaya tukijaribu kwa mwingine, DR. Weapon ( Slaa) ndio jibu letu la ukweli.. watanzania tufike mahali sasa tufunguke macho
 
Makamba na Kinana ilikuwa nguvu ya SODA mziki wa Dr Slaa sio wenyewe wameona wakae kimya waiache familia ya JK isonge mbele.
 
Back
Top Bottom