Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 289
Kazi hiyo jembi...Duh Mi kimia.......?:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
Kazi hiyo jembi...Duh Mi kimia.......?:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
habari wapendwa,
mimi ni mdada wa miaka 29 nimeolewa nina mume na mtoto wa mwaka mmoja na miezi 7, tatizo kubwa sana, jumapili ya juzi mume wangu alinipiga na akanivuta nywere na kuniweka alama kwa titi langu la kushoto, ila chanzo kilikuwa ivi, mi nilikwenda bagamoyo kwa picnic ya ofc, niliporudi jioni, mimi na mume wangu tukaenda kuchukua maziwa harafu mume wangu akasema leo nina hamu ya kuku choma tukale dada asipike apike cha mtoto yeye tutambebea take away, tumekula vizuri wakati tunarudi akawa anakimbiza gari nikamwambia d usikimbize gari harafu nikapunguza sauti ya redio, akaanza unajua usiniletee dharau, nikamwambia kukwambia usikimbize ndo dharau kama vip nishushe uende mwenyewe, akaanza unajua we unijua, ****** wewe, ******** hunijui kabisa, uku amenivuta nywele na kunikaba shingo, mi kimia, nitakuuwa wewe uku anakimbiza gari kwa nguvu, nikamwambia mume wangu tatizo nini, kwani haya yote yametoka wapi, anasema usiniletee dharau zako, kweli hasira ilinikamata nikaanza kulia uku naona titi la kushoto damu inatoka ni kaanza kumjibu nikamwambia ugomvi umeununua wewe, na hapo sasa akapaki gari mbele ya nyumba na gari lina tinted, tuliwa ndani ya gali akaendelea kunishika kabali, akaniambia ukishuka kapaki vitu vyako nikupeleke masaki, masaki ndo kwa wazazi, mi nikamjibu hukunitoa usiku ulinitoa mchana so kukicha nitaenda mi namwangu na dada, kasema uende mwenyewe nikasema siendi, baada nikaingia ndani, nikaingia moja kwa moja chumbani nikaanza kulia tena sana na kwa machungu mimi mume wangu leo ananitukana matusi ya kila aina na kuninyanyapaa kama m2mwa kweli nililia sana tena sana na kwa machungu, baadae akaja akasema umeshafunga mizigo nikamnyamazia akasema unisikii akaninyanyua kichwa akanishika mikono kwa nguvu na kunitoa alama kiasi fulani inaumiza sana tena sana, wakatia anaongea na kuniumiza mi kimia, baadae akaja ujapaki bado nikamwambia kaa chini tuongee, akakaa, nikamuuliza kwani tatizo nini jamani make sielewi tatizo we kuwa na amani niambie, akasema unajua ujanipa haki yangu muda(tendo la ndoa) haya mambo yote ya una kiburi yote ni uongo main point ni hiyo, tatizo nini? Mi kimia make nilikua na hasira, nikamwambia ni kweli na sikujibu sasa ivi coz nina hasira, akasema ok ijumaa basi, na akasema mi nakupenda sana sema tatizo ni hapo. Upande wangu kuusu mashitaka ni kweli uwa nambania, chanzo kikubwa ni mtoto bado mdogo na kingine mume wangu aniandai powa ye akipiz mi nakuwa bado kabisa na si kwamba nina mtu wa kunikuna nje sina, na sasa tuko powa tunacheka ila mi bado rohoni kama nimeadhirika kimawazo kwasabu nikikumbuka unyama alionifanyanyia na matusi aliyonitusi wakati mwingine nalia mwenyewe na kunifanya sasa nami nianze kuweka akiba ya mimi kama mimi, make nyumba tunayoishi ni yetu tumejenga, ila nilivyokuwa nafukuzwa kama mbwa, na navyo sema sasa nimeshaanza kutafuta kiwanja cha bei rahisi ili nami niwe na aset yangu kama mimi, na ijumaa mi nitampeleka dinner then nilikua nafikilia nimueleze kila kitu kwamba tendo la ndoa ni haki yake ila na yeye nitamwambia mapungufu yake yote ya kutoniaandaa ipasavyo, hii nimeiandika umu najua watu wazima wana uzoefu wa ndoa kuzidi mimi na wanaushauri nimepeni mawazo yenu mazuri, make mimi kama mimi japo nampenda mum wangu lakini.....
MSHEDEDE? Teh teh teh teh !Aisee usije ukajaribu kumwambia kwamba hakuandai vizuri hapo ndio utaharibu kabisaa bora ukiwa ktk majombozi ndio umwambie bado kwanza usiingize mshedede tuendelee na foreplay...
Habari wapendwa,
mimi ni mdada wa miaka 29 nimeolewa nina mume na mtoto wa mwaka mmoja na miezi 7, tatizo kubwa sana, jumapili ya juzi mume wangu alinipiga na akanivuta nywere na kuniweka alama kwa titi langu la kushoto, ila chanzo kilikuwa ivi, mi nilikwenda bagamoyo kwa picnic ya ofc, niliporudi jioni, mimi na mume wangu tukaenda kuchukua maziwa harafu mume wangu akasema leo nina hamu ya kuku choma tukale dada asipike apike cha mtoto yeye tutambebea take away, tumekula vizuri wakati tunarudi akawa anakimbiza gari nikamwambia d usikimbize gari harafu nikapunguza sauti ya redio, akaanza unajua usiniletee dharau, nikamwambia kukwambia usikimbize ndo dharau kama vip nishushe uende mwenyewe, akaanza unajua we unijua, ****** wewe, ******** hunijui kabisa, uku amenivuta nywele na kunikaba shingo, mi kimia, nitakuuwa wewe uku anakimbiza gari kwa nguvu, nikamwambia mume wangu tatizo nini, kwani haya yote yametoka wapi, anasema usiniletee dharau zako, kweli hasira ilinikamata nikaanza kulia uku naona titi la kushoto damu inatoka ni kaanza kumjibu nikamwambia ugomvi umeununua wewe, na hapo sasa akapaki gari mbele ya nyumba na gari lina tinted, tuliwa ndani ya gali akaendelea kunishika kabali, akaniambia ukishuka kapaki vitu vyako nikupeleke masaki, masaki ndo kwa wazazi, mi nikamjibu hukunitoa usiku ulinitoa mchana so kukicha nitaenda mi namwangu na dada, kasema uende mwenyewe nikasema siendi, baada nikaingia ndani, nikaingia moja kwa moja chumbani nikaanza kulia tena sana na kwa machungu mimi mume wangu leo ananitukana matusi ya kila aina na kuninyanyapaa kama m2mwa kweli nililia sana tena sana na kwa machungu, baadae akaja akasema umeshafunga mizigo nikamnyamazia akasema unisikii akaninyanyua kichwa akanishika mikono kwa nguvu na kunitoa alama kiasi fulani inaumiza sana tena sana, wakatia anaongea na kuniumiza mi kimia, baadae akaja ujapaki bado nikamwambia kaa chini tuongee, akakaa, nikamuuliza kwani tatizo nini jamani make sielewi tatizo we kuwa na amani niambie, akasema unajua ujanipa haki yangu muda(tendo la ndoa) haya mambo yote ya una kiburi yote ni uongo main point ni hiyo, tatizo nini? mi kimia make nilikua na hasira, nikamwambia ni kweli na sikujibu sasa ivi coz nina hasira, akasema ok ijumaa basi, na akasema mi nakupenda sana sema tatizo ni hapo. upande wangu kuusu mashitaka ni kweli uwa nambania, chanzo kikubwa ni mtoto bado mdogo na kingine mume wangu aniandai powa ye akipiz mi nakuwa bado kabisa na si kwamba nina mtu wa kunikuna nje sina, na sasa tuko powa tunacheka ila mi bado rohoni kama nimeadhirika kimawazo kwasabu nikikumbuka unyama alionifanyanyia na matusi aliyonitusi wakati mwingine nalia mwenyewe na kunifanya sasa nami nianze kuweka akiba ya mimi kama mimi, make nyumba tunayoishi ni yetu tumejenga, ila nilivyokuwa nafukuzwa kama mbwa, na navyo sema sasa nimeshaanza kutafuta kiwanja cha bei rahisi ili nami niwe na aset yangu kama mimi, na ijumaa mi nitampeleka dinner then nilikua nafikilia nimueleze kila kitu kwamba tendo la ndoa ni haki yake ila na yeye nitamwambia mapungufu yake yote ya kutoniaandaa ipasavyo, hii nimeiandika umu najua watu wazima wana uzoefu wa ndoa kuzidi mimi na wanaushauri nimepeni mawazo yenu mazuri, make mimi kama mimi japo nampenda mum wangu lakini.....
Pole sana, ngoja nikuitie kina gfsonwin, snowhite, nyumba kubwa, Nyamayao, King'asti na wengine wakushauri.
Cha kwangu, ni mjenge tabia ya kusali pamoja kabla ya kulala. Pombe mpunguze ikiwezekana muache!
pole sana mdogo wangu hata cha kushauri sina ila busara unazo,ongeza maombi ili kuinusuru familia yako
Ndoto hizo, vipi kama hawatumii pombe??Pole sana, ngoja nikuitie kina gfsonwin, snowhite, nyumba kubwa, Nyamayao, King'asti na wengine wakushauri.
Cha kwangu, ni mjenge tabia ya kusali pamoja kabla ya kulala. Pombe mpunguze ikiwezekana muache!
Dagaa acha upuuzi wako wako WA KUTAKA HAKI SAWA!!!!!!!!! Hizo redioni tu! GO WITH THE FLOW! Jishushe tu, mwambie nimekosa, nisamehe sweetie! LING'ONGE TU kwanza hadi hasira zako zipoe kwanza. Jifanye umesahau na wewe ndo mkosefu. ITS GOOD FOR THEIR BIG EGO! Halafu it will spare you the DRAMA ya kuanza vikao na wazazi na washauri. Come to think of it cleary mwenzio alikuwa na HASIRA zake na wivu kuwa huenda kwenye hilo PICNIC UMEMEGWA LIVE BILA KUNASA NA The Boss!!!!!! Au mtu tu alituma SMS kukuharibia tu aone itakuwaje umezidi HASHUO ofisini kwenu.
Yalishatokea, omba msamaha hata wa kinafiki yaishe upumue kidogo.
La kuchukua KIWANJA nalo nenoooooooo! We jibweteke tu, kile chumba ulichoacha kwenu kishapata mpangaji! Na sio kujenga kisiri tu, HATA KUWAENDELEZA KWENU ZAIDIII YA KWA MUMEO BIBI WEWE!!!!!!!!
na ijumaa mi nitampeleka dinner then nilikua nafikilia nimueleze kila kitu kwamba tendo la ndoa ni haki yake ila na yeye nitamwambia mapungufu yake yote ya kutoniaandaa ipasavyo, hii nimeiandika umu najua watu wazima wana uzoefu wa ndoa kuzidi mimi na wanaushauri nimepeni mawazo yenu mazuri, make mimi kama mimi japo nampenda mum wangu
Dagaa acha upuuzi wako wako WA KUTAKA HAKI SAWA!!!!!!!!! Hizo redioni tu! GO WITH THE FLOW! Jishushe tu, mwambie nimekosa, nisamehe sweetie! LING'ONGE TU kwanza hadi hasira zako zipoe kwanza. Jifanye umesahau na wewe ndo mkosefu. ITS GOOD FOR THEIR BIG EGO! Halafu it will spare you the DRAMA ya kuanza vikao na wazazi na washauri. Come to think of it cleary mwenzio alikuwa na HASIRA zake na wivu kuwa huenda kwenye hilo PICNIC UMEMEGWA LIVE BILA KUNASA NA The Boss!!!!!! Au mtu tu alituma SMS kukuharibia tu aone itakuwaje umezidi HASHUO ofisini kwenu.
Yalishatokea, omba msamaha hata wa kinafiki yaishe upumue kidogo.
La kuchukua KIWANJA nalo nenoooooooo! We jibweteke tu, kile chumba ulichoacha kwenu kishapata mpangaji! Na sio kujenga kisiri tu, HATA KUWAENDELEZA KWENU ZAIDIII YA KWA MUMEO BIBI WEWE!!!!!!!!
ngoja aje!Sijaelewa hapa naingiaje kwenye huu uzi
au ndo kusema umenimiss saana sio? lol
pole sana dada ynagu...ndoa ndoano.....
unajua sisi wanaume bwana huwa tunadhani mwanamke ni chombo cha kutumia kikiwa ndani..na cha ajabu sana huwa hautna muda wa kuwaandaa wenza wetu ili nao wafurahie tendo la ndoa...tukijisikia tu tunarukia juu wla humpi style nzuri nzuri...wewe ni kurukia juu tu unamaliza haja zako, ukijisikia unataka kuendelea na cha pili tena hivyo hivyo...hii huleta matatizo sana kwa familia zetu sometimes...
Dada yangu mimi naweza kukushauri tu usimnyime unyumba mumeo ila kabla ya kufanya chochote wewe anza kumpa romance halafu akitaka kukurukia mwambie "subiri kwanza D" then ongeza manjonjo mengine kama yale mlikuwa mnafanya kabla hamjaoana hadi usikie na wewe upo tayari....ndipo wewe mwenyewe chukua machine yake uingize maana atakuwa hoi kweli najua...mpe style za ukweli hadi siku ingine tena asitake kurukia rukia...