Kweli namna hii tutafika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli namna hii tutafika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtaratibuuuuuu, Nov 1, 2011.

 1. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alhamis iliyopita nilimpeleka mtoto akapate chanjo kwenye hospital ya pale ukonga magereza,wakasema ijumaa na j3 ndiyo wanatoa,nikaona niende j3 jana,waka2ambia dawa za chanjo hakuna mpaka wiki ijayo,watu wawe wanakuja kuangalia kama zimekuja.Hiv serikal iko serious kwel?,kama dawa za chanjo hakuna nina uhakika huko kwingine ndiyo mbaya zaid.
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwani Walikumbia Kituo hicho pekee au Tanzania Nzima?, Tafuta kitu mtoto akapatiwe chanjo labda hicho kituo ni wazembe.
   
 3. mtaratibuuuuuu

  mtaratibuuuuuu Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Likwanda Hata kama ni hicho kimoja wangapi wanafuata huduma hapo?,je kweli uzembe wakutokuwa na dawa?unataka kusema hospital haijafuata kwa wiki nzima wawe wanarudisha wa2 na wakijua kabisa wanazidi kuongezeka kila cku?
   
Loading...