Hahaa, mkuu kuna katabia nakasikia siku hizi, Mwanaume anajidai kuwa hataki kufanya ngono kabla ya ndoa so anakua na msichana mwingne wa kumhudumia kwa habari hio, Vivyo hivyo kwa wada wanasema wana Bikira na eti hataki mkutane kimwil hadi ndoa. anahofia ukikutana nae tu utamchoka na kumuacha, so anakuwa na kijamaa chake pembeni cha kumtatulia mahitaji yake, ila akija kwako anaweka ngumu ili kukuonesha ana msimamo. kwa hiyo kwako wewe yawezekana ni hii trick ya mujini.
Kuhusu kumwambia, ni bora ujitafakari tu mwenyewe na kuchukua maamuzi, kwa kuwa huna ndoa, jiokoe kaka. ukimwambia atagoma tu, chezeya wewe
''Laiti watu wangejua ukweli ulivyo na nguvu, Binafsi nathamini sana anayeniambia ukweli maana ameniamini kiasi cha kujidhalilisha kwangu, kuliko huyo mwema ambaye ataniaminisha uwongo kwa juhudi, halafu mzee mzima siku ya ndoa unakuta hamna kitu, aheri asingezaliwa mtu huyu maana maumivu yake yashinda msiba''
Ukimwambia mtu ukweli wako akakukimbia, huyo sio wako endelea kusubiri atakuja wako, mbona wengine wanaoa wadada ambao wamezaa kabisa???, sembuse mwanaume umwambie huna bikira? Tuwe wakweli.