Kweli mungu ni mkubwa hebu ona hii

Hakuna photoshop hapo wadau? Maana siku hizi kila kitu kinawezekana.
 
Hii ni uongo mchana kweupe, kwa muonekano tu ni kuwa jamaa amepoteza kama 30% ya ubongo wake, sasa munataka kusema binaadamu anaishi bila ubongo? Na kwa eneo ambalo linatatizo kwa huyu jamaa basi hataweza kutumia miguu, mikono, hatahisi kwa ulimi e.t.c... Photoshop
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom