Kweli Mungu hujibu maombi, CCM chaliii

Kweli Mungu hujibu maombi, CCM chaliii

Mkuu kidogo uniuwe kwa pressure!
Lowassa akishinda urais japo sina shaka na hilo nahisi nitazimia kwa furaha!

Kwi kwi kwi kwi ndo Uhalisia wa Mitaani kote Mkuu story ni Lowasa hakuna zaid yake watu wana hasira sana na ccm hawasikii wala hawambiwi kitu zaid ya Rais Mpya wa JMT Mh Lowasa
 
Kwa hiyo huyo Mungu wako ndo kamtuma fisadi Lowasa kuhamia UKAWA na kuwa mgombea Urais?

Nani ni msafi huko ccm? Waliobeba fedha za ESCROW kwa mgunia mchana kweupe ni akina nani hao? EPA nayo ilikuwaje? Mhusika anafahamika?walichukuliwa hatua gani? Sasa hivi hao wahusika wapo wapi?
 
Ila tukiondoa ushabiki tukaongea uhalisia Lowassa anapendwa sana na mitaani watu wana Iman nae kubwa sana.
 
Escrow epa,twiga kupandishwa ndege,tembo zaidi ya lk 1 kuuawa deni la taifa,hospitali kukosa dawa

madeni ya waalimu,madeni ya wakandarasi,nk yote hayo ni lowassa? Think before you comment
 
Back
Top Bottom