Kweli Mungu hujibu maombi, CCM chaliii

Kweli Mungu hujibu maombi, CCM chaliii

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
2,775
Reaction score
2,750
Niaje wana Jf, Hakika na Kweli Mungu wetu hana Mzaha na Hana kinyongo Kwa wale wamchao na Ndiyo mana amesikia Maombi ya Wanyonge wa Tanzania, kiukweli kabsa Magamba yamepoteana, yanahangamia na Majibu ya Muombi ya watanzania kwa Mungu wetu Anaechukia dhuruma, Manyanyaso, dharau, ufisadi, Ubnafc.Naiona ccm inapotea mapema sana kabla ya uchaguzi yan cku zinavyokwenda ndivyo ccm inavyofutika kwenye maskio ya wantanzania, Nawakumbusha ccm Mungu akisema Ndiyo, Hakuna Wakupinga kubalin Yaishe
 
Kwa hiyo huyo Mungu wako ndo kamtuma fisadi Lowasa kuhamia UKAWA na kuwa mgombea Urais?
 
kweli kbs ccm akuna wala akuna shabiki wake wamebakia wapangaji kwenye nyumba ambazo ccm inasema kuwa ni zao wakati wananchi tunatambua ni za umma
 
Nimesikia Rufaa ya Njombe! Nimefarijika sana, nimeguswa pia na taarifa za Samia kukosa watu na kuahirisha mikutano.
 
kweli kbs ccm akuna wala akuna shabiki wake wamebakia wapangaji kwenye nyumba ambazo ccm inasema kuwa ni zao wakati wananchi tunatambua ni za umma
Mbona akili zako zipo kama za mleta uzi? Ni swali tu lakini
 
Yaa CCM wamepoteana mkuu lizabon lambda fanya toba mungu akufunulie
 
Kwa taarifa yako Rais tayari ni magufuli wenzako tumefurahi mjadala huo.

Pombe hawez kuwa rais wa Tz hata cku Moja na Mwenyewe Analijua hilo ni ww tu usiye jielewa hilo coz ww ni kipofu
 
nashangaa wanamtisha magufuli mzigo wa kusafisha escro sijui ataweza? lizaboni nisaidie majibu kuhusu escro plz
 
kweli kbs ccm akuna wala akuna shabiki wake wamebakia wapangaji kwenye nyumba ambazo ccm inasema kuwa ni zao wakati wananchi tunatambua ni za umma

Wamepigwa upofu hawaoni, Wamezibwa masikio hawasikii, Watasikia na kuona 25 Octbr
 
Back
Top Bottom