nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Sikuona pahala anaposema alikuwa na POCHI ila alikuwa na mahaba niue. Katika ujumbe wangu nilisisitiza msimamo wa Lara 1 na Miss Chagga kuwa mwanaume pochi, huu ni msimamo mchungu kuliko muarobaini kwetu sie ambao kipato ni kidogo ila tunapenda kuwa na wapenzi. Kwa maelezo zaidi endelea...... https://www.jamiiforums.com/mahusia...umbele-chako-katika-mapenzi.html#post10677094Mkuu umesoma vizuri habari ha huyu dada jinsi walivyokuwa wakiishi na huyo mpenzi wake kabla hajamtundika mimba? ..........
Ushauri wa namna hii ni hatari, kwani wazazi wake ndo waliompa mimba? Hivi unadhani mtoto akikua hatamtafuta BABA (biological father)? Ni jukumu la Baba kulea mtoto wake. Pamoja na kuwapinga sana akina Lara1 (Free P) na Miss Chagga kwa kudhani kufikiria kuwa mapenzi hayahitaji pesa, kwa hili nakubaliana na usemi wao kuwa mwanaume pochi. Pamoja na yote msichana lazima aangaze mbele kabla ya kuingia mahusiano (Je, ukiibeba ataweza kuitunza?) inawezekana kweli Kijana hana uwezo wa kutoa 25,000, hivyo msala unaenda kwa msichana.
Oh my goodness...! Hivi ndivyo tunavyobambikiwa mimba..duh!!
asiye kupenda hana alama.................... akishakutenda ndo utaisoma. Hapo rafikio alikuwa anatumiwa tu. Sijui lini mtastukia hizi janja za sisi wanaume.
cc: mamaafacebook
ahahahahahaahaha umeipenda signature hiyoooo enh ukweli ndo huo nyie mnajitia janja janja sanaaaa
Teh teh teh Kiukweli nimefall in love with that signature of yours...maneno machache ila yamebeba ujumbe mzito
wow really??? kwa anelewa atajua nina maana gani kwa asie elewa ataona ni maandish tu ambayo hata kwenye kanga yapo....