Kweli Mimba Kiboko

Wazungu husema... suffer the pain of discipline now, or else you will suffer the pain of regret... watu hamna discipline kwene maisha yenu wenyewe... mkome
 
Duuu so tatizo 25 elfu oky ni PM namba ako niwasaidie hiyo 25 elfu tatizo liishe au sio hvyooo ila as postpone masomo hiyo ni ishu
 


Kweli watu tunatofautiana sana, wakati mi nipo kwenye mgogoro na mpenzi wangu katoa mimba wengine wanazikimbi!!
 
huyo hakumpenda..angempenda kweli angemlinda si magonjwa tu hata mimba ili amalize masomo.....ajipange upya.
 
nimepanga kumpiga mimba BRENDA 18
 
Last edited by a moderator:
Acha roho mbaya mbona wenzako wanaosha hadi watoto wa wanaume wenzao:

........Alipotakiwa kuelezea chanzo cha tukio la fumanizi, jamaa alifunguka: “Hamna. Ticha aliniamsha asubuhi akaniambia nimsaidie kufanya usafi na kumuogesha mwanaye.
MADAWA YA KIENYEJI
“Nilipomaliza kumuogesha nilitaka kutandika kitanda, nilipoinua godoro niliona madawa ya kienyeji.
“Nilipomuuliza mwenzangu akawa mkali kama pilipili ndipo ugomvi mkubwa ukaanzia hapo...



Zaidi : FUMANIZI LA MWALIMU - Global Publishers
 
Achana nae huyo mwanaume wala usimtafute mimba usitoe waeleze home ujipange mwenyewe. Yote yatapita huyo f.ala mpotezee mazima
Ushauri wa namna hii ni hatari, kwani wazazi wake ndo waliompa mimba? Hivi unadhani mtoto akikua hatamtafuta BABA (biological father)? Ni jukumu la Baba kulea mtoto wake. Pamoja na kuwapinga sana akina Lara1 (Free P) na Miss Chagga kwa kudhani kufikiria kuwa mapenzi hayahitaji pesa, kwa hili nakubaliana na usemi wao kuwa mwanaume pochi. Pamoja na yote msichana lazima aangaze mbele kabla ya kuingia mahusiano (Je, ukiibeba ataweza kuitunza?) inawezekana kweli Kijana hana uwezo wa kutoa 25,000, hivyo msala unaenda kwa msichana.
 

Mkuu umesoma vizuri habari ha huyu dada jinsi walivyokuwa wakiishi na huyo mpenzi wake kabla hajamtundika mimba? Na kwa habari ya kumlazimisha mtu kutoa matunzo mi naona sio ishu kabisa.....mimi binafsi mtu akikataa mimba yana nakata connection zote...nafuta nadelete kabisa kumbukumbu zinazomuhusu yeye....af namtumia ujumbe mzito.... Namwambia "naomba unisamehe kiukweli kabisa hii mimba si yako niliipata kwa mtu mwingine tu ila niliamua kukuambia wewe kwa sababu baba wa mtoto niliona hana mbele wala nyuma...nikaamua niilete kwako maana niliona wewe angalau uko stable financially....ukizingatia mi ni mwanafunzi sina msaada mwingine wowote....ila nimekuta nafsi yangu inanihukumu sana kwa hilo....naomba unisamehe sana"
Then baada ya hapo najifunga mkanda...bum si nnalo??? Liwalo na liwe nasonga mbele kivyangu nalea mimba mpaka mtoto....
 
Sasa shem,mbona haya mambo umeyaleta huku? Unadhani itasaidia nini?
 

huyo rafikiyo hakujua madhana ya kungonoka?
aliona tyaaamuuu!!mwambie alee mimba akitoa na yy anaunga!!
 
Oh my goodness...! Hivi ndivyo tunavyobambikiwa mimba..duh!!
 
asiye kupenda hana alama.................... akishakutenda ndo utaisoma. Hapo rafikio alikuwa anatumiwa tu. Sijui lini mtastukia hizi janja za sisi wanaume.

cc: mamaafacebook
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…