Isijekuwa huyo rafiki yako ni wewe mwnyw......sasa ilikuwaje utege mashine ipigwe nyama tupu wakati ww ni msomi kabisa na una malengo yako kibao tu, tatizo lenu mnadanganywa sana na hivi vi mahaba upuuzi mnavyoviona kwny tamthilia
Hawa ndiyo wanaume bwana
Watu wengine macho na fikra zao hazifanyi kazi unaona n.jinsi gan watu wako wanahangaika ukasome unaleta kitumbo angekua mwanangu ningemkana aende huko aliko jazwa tumbo...baba yako kahangaika umefika chuo umrendekeza ngono zembe. huyu ni wewe tu
Raha ya uzinzi upate mimba, gono, kaswende, pangusa au ngoma...
Raha ya uzinzi upate mimba, gono, kaswende, pangusa au ngoma...
Ndo wenyewe wote tunavaa suruali mita moja na robo
Ndo wenyewe wote tunavaa suruali mita moja na robo
Yana raha gani