Kweli milima haikutani ila binadamu wanakutana

Kweli milima haikutani ila binadamu wanakutana

Nilionana na classmate wangu mwaka Jana, hatukuwa na mawasiliano. Nilimtembelea jamaa yangu alikuwa anaumwa na yule mshikaji akaja kumbe wanauhusiano wa kiukoo. Huyu mshikaji alikuwa desk mate wangu vimeza vyetu 'o level vilikuwa vinagusana.Mara ya Mwisho tulikuwa tumeonana 1992 November tukiwa o level. Ndiyo tukaja onana tena mwaka Jana.
 
Back
Top Bottom