Nikiwa sina hili wala lile, nikaona vijana wa sisiem wakifanya gwalinde mbele ya viongozi wa kitaifa wa Chama. Mara nikamsikia Mh. Makamba akiwaambia vijana..."Kesho mje...kutakuwa na pilau...mnywe uji kabisa nyumbani, mchana pilau hapahapa....msije aguka..."
Nawasilisha!
People with no life..go get a life looosers
Nikiwa sina hili wala lile, nikaona vijana wa sisiem wakifanya gwalinde mbele ya viongozi wa kitaifa wa Chama. Mara nikamsikia Mh. Makamba akiwaambia vijana..."Kesho mje...kutakuwa na pilau...mnywe uji kabisa nyumbani, mchana pilau hapahapa....msije aguka..."
Nawasilisha!
Nimecheka sana niliposoma hii, huyu mzee ndio maana anaongea pumba kila wakati. Yeye anafikiri kila mtu ana shida no wonder ccm inatuona sote tuna shida wanataka kutuendesha kama magari yaliyokosa magurudumu. Duh! aende akamwambie January na Mwamvita asituletee upuuzi wake hapa.