rmajani
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 532
- 528
Ngoja ninyamaze maana naona umetimiza uhuru wako wa kusema......ktk ubora wako.angalia hoja ya msingiLabda swali dogo tu kwako,
Tukiacha ya kua wewe ni mmojawapo ya Waanzilishi, je wewe nawe sasa ni Mmojawapo ya wamiliki au wanahisa wa huu mtandao??