Ana tofauti gani na wasanii wanaokata mauno kwenye video?Maisha hakika yana siri haya ukiona mwenyezako anapambana hakika mpe hongera yake
Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni kukaribisha wateja na kujichekesha jichekesha kama mpuuzi fulani na uku akikata mauno
sasa kwanini udharau kazi ya mwenzio? as long haibi cha mtu na yeye anafuraha na kazi yake hebu muache jamni,,,Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni kukaribisha wateja na kujichekesha jichekesha kama mpuuzi fulani na uku akikata mauno
Ww mtoa mada uonekana ni demu tena mpongeze maana yupo kwenye kutafuta hela je kama angekuwa mtu jobless wa kupiga vizinga dailyMaisha hakika yana siri haya ukiona mwenyezako anapambana hakika mpe hongera yake
Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni kukaribisha wateja na kujichekesha jichekesha kama mpuuzi fulani na uku akikata mauno
Either ni demu au anatamani hayo mauno angekatiwa yeye.Ww mtoa mada uonekana ni demu tena mpongeze maana yupo kwenye kutafuta hela je kama angekuwa mtu jobless wa kupiga vizinga daily
On the contrary!Hawa Gen Z wana dharau sana. π
Halafu usikute yupo kwa shemeji yake tu ameshika rimoti kuangalia KombolelaHawa Gen Z wana dharau sana. π
Kifurushi kikiisha anaenda library kurusha dunia, last chance na love me againHalafu usikute yupo kwa shemeji yake tu ameshika rimoti kuangalia Kombolela
Role model wake ni kobisiHalafu usikute yupo kwa shemeji yake tu ameshika rimoti kuangalia Kombolela
Nimecheka kishenzi πKifurushi kikiisha anaenda library kurusha dunia, last chance na love me again
Apo anaona kama maisha ameyaweza
Swadakta jobless kobisiRole model wake ni kobisi