folota
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 251
- 160
Hili ni Jimbo la kubenea CHADEMA tuseme ukweli CCM walibagua wapinzani? Je, tuwanyime kura kwa kigezo gani, nasubiri wadau mje na vihoja dhaifu kama Lissu.
Amesahau korona ilizuia viongozi majirani kuja kuzika anasema tumepoteza marafiki nnje ya nchi. hivi moi alikufa wakati wa Corona?
Amesahau korona ilizuia viongozi majirani kuja kuzika anasema tumepoteza marafiki nnje ya nchi. hivi moi alikufa wakati wa Corona?