wakati mwingine chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa magwanda yao wanaongea chochote lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.
serikali itumie akili sana maana kuwafukuza machinga nikuongeza madhara kwa jamii haswa pale maisha yanapokuwa juu mtu anakuwa busy nakibiashara chake unamfukuza unategemea familia yake itakula nini? wawatafutie sehemu ya kuwapeleka ndipo wawatoe
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.