Hilo tamko la Lema kalitoa kama nani?
Hee sawa itakuwa hivyo mpaka kieleweke
Serekali ya arusha waliitangaza kuwa ifikapo tarehe 7.5.2012 wamachinga wote wanapaswa kuondoka kwenye maeneo ya mjini....lema naye akatoa tamko kwenye kampeni ya vua gamba vaa gwanda..kwamba hakuna machinga yoyote kuondoka mjini.sivyo wawapeleke kwenye eneo waliloliuza huko kilombero...mpaka sasa jamaa wanapiga kazi kama kawaida,,big up lema
Hilo tamko la Lema kalitoa kama nani?
tunasubiri kwa mara ya kwanza wanaarusha wakiamishwa ,,kama magufuli alichemka kuvunja yumba za watu maeneo ya mianzini na maeneo ya kona nairob,,,hii itakuwa mwisho wenumatayarisho ya kuwaondoa yalikuwa bado kukamilika, tarehe imesogezwa mbele wataondolewa tarehe 10 mei, 2012
Hilo tamko la Lema kalitoa kama nani?
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.
Kama nani! Utajiuliza sana! Humjui "Rais" wa Arusha!Hilo tamko la Lema kalitoa kama nani?
Wakati mwingine Chadema huwa wanajidanganya sana yaani wakishavaa Magwanda yao wanaongea chochote Lema una cheo chochote halafu unataka kuipiga mkwara serikali iliyochaguliwa kwa demokrasia.
Waziri mkuu wa nchi ya ARACHUGAHilo tamko la Lema kalitoa kama nani?