Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,746
Unaonaje ukimsemea kwa baba yake.Leo nimerusha vaibu kwa demu nnayemmaind.kanichenjia kinoma ameniambia nimkome.
Hata nashindwa ni kiherehe gani ilinipeka kwake.saiv kan vuruga nimeamua nkanywe bia nitulize mawazo.
simtak tena!Unaonaje ukimsemea kwa baba yake.
Ulivaeje?Kanikataa live!kasema mm sio level zake na tena cha ajabu kanitukana matusi machafu.bora tu ningebaki chaputa
Atuelezee pia na huyo dada ni class gani, huenda kweli wakawa hawaendani ndo maana dem kamkataa akidai sio type yakeUlivaeje?
mm huwa na mazoea ya kupiga pamba kalUlivaeje?
Nipe nambari yake nami nijarbu bahati yangu.simtak tena!
yupo chuoAtuelezee pia na huyo dada ni class gani, huenda kweli wakawa hawaendani ndo maana dem kamkataa akidai sio type yake
Huyu atakuzingua achana naye tuNipe nambari yake nami nijarbu bahati yangu.
Basi sawa.Huyu atakuzingua achana naye tu