Endelea kusubiri..hahahahahahaha lolote linawezekana, kama nimetoboa game 26 plus hii inayoendelea ya barca then hata zilizobaki nitatoboa tuu
Wambulu kama wa MbuluMkuu ukishinda njoo arusha nikupeleke Bar yenye mademu wakali wa kimbulu..
Kidding.
Mkuu ukishinda njoo arusha nikupeleke Bar yenye mademu wakali wa kimbulu..
Kidding.
Yaah ni wairaq..weupe wao ni tofauti na weupe wa hawa wengine na wana nywele nyeusi sana..wazuri kwa kweli.Hao ni wairaq. Kiukweli ni moja ya pisi kali sana na ukiwaweka na wanyaturu hapo.
Huwezi kujizuia
Yaah ni wairaq..weupe wao ni tofauti na weupe wa hawa wengine na wana nywele nyeusi sana..wazuri kwa kweli.
Sema mkuu wanasema wengi wao they are not wife materials..hivi hili lina ukweli au ni fallacy ya generalization tu inayotusumbua wabongo?Licha ya kuwa naye ila ni furaha ya moyo na macho. Huvutia maana ni pisi kali hasa.
Tupe mrejesho.Wakuu hivi wale wanaobet hua wanawezaje kua na utulivu wa akili? Maana hapa nimebet game 38 na mpaka sasa zimeshacheza game 26 na zote nimetoboa. Ila shida inakuja kwenye kusubiri matokeo sasa.... yaani akili haitulii kabisa moyo unaenda mbio hatari. Anyway ngoja niendelee kuisubiri 30M yangu kama mambo yakienda vizuri...
Kweli kamali ngumu mweeh!
Mrejesho gani alimpa man U win na Atletico Madrid winTupe mrejesho.