Kweli kingereza kigumu

Ni kweli sio vzr kukashifu dini ya mwenzako, baki na imani yako usiingilie ya mwenzako.

Halafu huyu bint ndio islam jamaa upande wa pili na bint kasoma hizo ni uniform picha ya zamani sana hiyo jamaa kairusha FB baada ya kuachana alidanganya angebadili dini hakubadili bint karudi kwao na hana habari nini kinaendelea mitandaoni. huyu mpuuzi ushamba wake unamfanya aone islam hawajasoma
 

Acha uongo wewe fatu hawezi andika hivyo ukizidi naanika kila kitu kama kweli ni wewe. kwanza hilo jina si lako jina linaanzia na M. pili kama kweli ni huyo kijana sidhani kama anaingia JF. unajua kuchafua imeniuma sana maana bint ananihusu pia inaweza kumletea matatizo kwao. Yaani wewe ni muongo sana yaani unadanganya wote wanakusoma hapa
 
anika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…