Kweli kingereza kigumu

You are very right mkuu Kiepe Yai.Inabidi tubadilike
 
Last edited by a moderator:
Jamii inatarajia tuwe tunatumia lugha ya kigeni na kufanya code switching kila tunapotaka?
 
Waalim wao wanakuwaga hivi
 
Attachments

  • 1429986791841.jpg
    26.7 KB · Views: 264
Jamii inatarajia tuwe tunatumia lugha ya kigeni na kufanya code switching kila tunapotaka?

On The Contrary!.If You Intent To Emphasize Something.You Can Use Even Chinese, If You Are Extremely Confident To Be Understood.
 
On The Contrary!.If You Intent To Emphasize Something.You Can Use Even Chinese, If You Are Extremely Confident To Be Understood.

Na jamii? Ambayo baba anamtoa shule mwanae wa kidato cha kwanza kisa hajui kusoma na kuandika
 
jamani mi ndo hussein khalfan..hayo maneno "I LOVE HIM XO MUCH" aliyasema mke wangu mpendwa siku ya birthday yangu...zen mi nikaandika my wife fetty nikaambatanisha na picha ili mumuone mke wangu aliyetamaka maneno hayo..ni vile tu nilikosea kuweka baadhi ya alama ndo mana ikawa haileti maana
 
Hayo ni matokeo ya madrasa, bora angeandika kiarabu.

Yaani wewe kweli kilaza. Sio kwamba kingereza kutumika ina maana ni bora kuliko lugha nyingine. Kingereza sio elimu bali ni lugha kama lugha nyingine.Kwa hivyo basi tunatakiwa kujifunza vitu kwa kutumia visual thinking. Unataka kuniambia mataira ya taifa la uingereza wamekuzidi elimu kutokana na wao kujua kingereza? Acha kudharau arabic ww,nina uhakika kwa asilimia zote huyo Yesu hakuwahi kutumia Kingereza na wala hakikuwepo.
Je unajua ya kwamba 97% kingereza imekopa maneno yake kutoka lugha nyingine?
 
Na jamii? Ambayo baba anamtoa shule mwanae wa kidato cha kwanza kisa hajui kusoma na kuandika

Every Child Is Entitled To A Good Education.So Parents Must Be Very Vigilant To Help Their Children To Pursue Their Goals.

There Must Be Check And Balances In Their Decisions To Avoid Negative Effects To Their Children.
 
Mh! For true it is job.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…