Kweli Kikwete na CCM wameshikwa pabaya!

Kweli Kikwete na CCM wameshikwa pabaya!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,358
Reaction score
20,817
Haijawahi kutokea JK akashindwa kuhudhuria mikutano ya kimataifa hata kama hapa nyumbani kuna jambo nyeti linalohitaji uamuzi wake!

Leo kwa mara ya kwanza JK ameshindwa kuhudhuria kikao cha marais wa SADC huko Gaborone, Botswana ili aliweze kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM!

Hii imetokana na kasi ya UKAWA katika kushambulia uwanja wa siasa!

Pipoooooozi!
 
Lazima aogope mkuu watu tunaweza kwenda magogoni bila ya kusubiri mda wa kupiga kura.
Jamaa ana presha, takwimu zinasoma 99.9 chama kinaweza kufa mkononi mwake.
 
Ni heri akaambiwa black and white kuwa CCM imemfia!!!
 
Haijawahi kutokea JK akashindwa kuhudhuria mikutano ya kimataifa hata kama hapa nyumbani kuna jambo nyeti linalohitaji uamuzi wake!

Leo kwa mara ya kwanza JK ameshindwa kuhudhuria kikao cha marais wa SADC huko Gaborone, Botswana ili aliweze kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM!

Hii imetokana na kasi ya UKAWA katika kushambulia uwanja wa siasa!

Pipoooooozi!

Uliambiwa ni lazima aende? Uvivu wa kufikiri
 
Anapata aibu maana Marais wengine wameshashtukia kwamba jamaa ni mnafiki nyumbani kwake. Kumbuka ilikuwa akawaage wenzake. Kama ni kweli hajaweza kwenda huko basi Peoples Power inamtafuna.
 
Kinachonifurahisha mwanzo wa mwaka kilikuwa na kundi kubwa la kutetea CCM,sasa siwaoni unajuwa bila kuwasoma haojamaa wa Lumumba hii forum haipendezi, au wamehama na EL?
 
Poweeeeer,ccm wanamshambulia,ukawa sindano za moto,lazima ajambe cheche miezi ikiyobaki
 
Kinachonifurahisha mwanzo wa mwaka kilikuwa na kundi kubwa la kutetea CCM,sasa siwaoni unajuwa bila kuwasoma haojamaa wa Lumumba hii forum haipendezi, au wamehama na EL?

chezea mafriko ww,huwa yanasomba kila kitu.ila nimeamini waliomfuata eddo wenyewe wanaamini ktk mtu sana sio chama.bado PASCO alikuwa timu lowassa kapotea sana toka lowassa akatwe kule ccm
 
Uliambiwa ni lazima aende? Uvivu wa kufikiri
Kama anaweza kuhudhuria mialiko ya wasanii kwa nini asihudhurie mkutano huu wa SADC ambao una maslahi kwa Taifa!

Kunaniiiiii?
 
Kinachonifurahisha mwanzo wa mwaka kilikuwa na kundi kubwa la kutetea CCM,sasa siwaoni unajuwa bila kuwasoma haojamaa wa Lumumba hii forum haipendezi, au wamehama na EL?

Yaani una maana watu kama Lizaboni ambao wameyeyuka kabisa JF?!
 
Last edited by a moderator:
mbona safari zingine hazinaga ulazima lakini alienda.,kama ile ya kwenda kubembea
Mbaya zaidi amewakilishwa na Pinda ambaye amepokewa airport na Naibu Waziri!!!

Aibuuuuuu!!!
 
Kasi ya UKAWA si mchezo hadi CCM imebidi kuzindua BRT kabla kukamilika ili kupunguza makali ya mafuriko.
 
Back
Top Bottom