franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481
Uliambiwa ni lazima aende? Uvivu wa kufikiri
Mkuu punguza pressure, history ya Hon JK na safari za nje ya Nchi..!
Uliambiwa ni lazima aende? Uvivu wa kufikiri
Umenifurahisha!Lazima aogope mkuu watu tunaweza kwenda magogoni bila ya kusubiri mda wa kupiga kura.
Jamaa ana presha, takwimu zinasoma 99.9 chama kinaweza kufa mkononi mwake.
Uliambiwa ni lazima aende? Uvivu wa kufikiri