Tamu chungu
Member
- Dec 20, 2015
- 85
- 64
Leo hii hata zile kazi ambazo zilikua ni chagua la mwisho kabisa ndo zinauliziwa kila mara hapa jf.Kazi hizi ni zile za kwenda kwanza kula msoto baada ya miezi kadhaa kumaliza mafunzo ndo uajiriwe .
Miaka ya nyuma tuliamini kwamba kazi hizo ni za watu ambao hawajasoma lakini leo hii zinagombaniwa na wasomi.Duuuuuh kweli kazi ngumu.
Kipindi hicho ilikua ukimwambia kijana mwenzio kwamba naelekea sehemu fulani kwa kipindi cha miezi sita kupata mafunzo ya ajira anakuona ni mtu wa ajabu sana lakini leo hii ukisema naenda pata mafunzo ya ajira kwa kipindi fulani unaonekana kwamba ushayatoa maisha.Daaaah kweli kazi ngumi.
Ajira hizi,we acha tu....!!!!!