Kweli kabisa

Ahahahahahah nafikiri yule RAIA ajaye Wa Ufaransa ujumbe murua kwake
 
Sio kweli
Utamu wa mwanamke wa miaka 21 ni tofauti na miaka 39
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hahaha
 
Tena kadiri umri unavyoongezeka na utamu pia unaongezeka. Kama unabisha hebu jiulize utamu uliokuwa unaupata wakati mnacheza kombolela ni sawa na unaousikia sasa hivi? Hence proved
 
Itakua utamu wa pipi ya kijiti ile ya lollipop, hata uwe na 60+ ita-taste sweet tuu hakuna namnaa..

Cc: LOLLIPOP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…