Kweli imeniuma.Wewe Je iko sawa?

Kweli imeniuma.Wewe Je iko sawa?

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,939
Maulid!
Kuna ndugu yangu kweli yanayomkuta mpaka nami yananipa wasiwasi ya kuingia kwenye mahusiano.

Huyu ndugu alikuwa kwenye mahusiano ya ke na me kwa muda mrefu mpaka mungu akawasaidia kuwapatioa mtoto mzuri wa kiume.

Baada ya hapo wakakaa kama miaka zaidi ibirisi wa ufarakano ukaingia kwenye mahusiano yao na likafanikiwa.

Sasa kinachomkera huyo ndugu ni kuwa mwanamke huyo amekuwa akimsema vibaya tu mzazi mwenza kila mara yaani hakuna zuri hata moja linalosemwa juu yake na huyo mwanamke.

Sasa hii kweli ni ungwana jamani.
 
kweli tumejaribu kujadiriana anashindwa kuelewa kwani anampazia maneno hata ambayo hayajui yaani kila kukicha ubayaubaya tu
 
Sijakuelewa mkuu...ngoja wakuje wengine

mkuu imeniuma mshikaji kaachana na huyo mwanamke cha ajabu huyu mwanamke ametapaka uhasama juu ya mshikaji..yaani hakuna anapopita mshikaji asemwe vizuri akiuliza maneno haya mnayatoa wapi utasikia kwa fulani..
 
Akili Unazo! Mshauri nduguyo atulize akili na aangalie upande wa pili , asifikilie wala asiwaze yale yasemwayo na huyo mwenza wake wa zamani, kwani binadamu tunao ishi nao ni kama fumbo katika maisha yetu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom