Kweli huyu dada ni mzalendo....

Kweli huyu dada ni mzalendo....

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

11229759_10153353824314468_5583610426958141246_n.jpg
 
kapendeza,ila anaonekana kasuka kwa ajiri ya sherehe za magambaz.
 
Huyo ni msanii japo kapendeza sana. Uzalendo ni zaidi ya kuvaa vitu vyenye rangi za taifa mkuu.
 
Uzalendo haupimwi kwenye nguo au nywele.
 
To be proud of your nation na kulitangaza ni uzalendo pia. Mengine yanafuata baadae...
Unaitangazia tanzania tandale kwa mfuga mbwa!!!?

Kuna madini tumepungukiwa kumkichwa kama taifa.
 
mkuu huwa haangalii kichwa anaangalia mambo ya wakuu wa wilaya
 
Unaitangazia tanzania tandale kwa mfuga mbwa!!!?

Kuna madini tumepungukiwa kumkichwa kama taifa.

Ndio watu wa Tandale wakiona hivi na wao wanaweza kuwa wazalendo pia. Anyway, hata kama picha imepigwa Tandale angalia sasa hivi tunaijadili wapi? Jibu ni mtandaoni, inamaana hata mtu akiwa Australia anaweza kuiona hii picha. Mimi niko mbali na nyumbani lakini nimeiona hii picha na kuipost humu.
 
Nikimuona mtu anajiita mwenyewe na kujiitika huwa sipati shida kutoa jawabu. Na jawabu langu ni sahihi.

Ccm iliwavundika kama ndizi sasa mnataka muonwe ili mliwe.

Wajanja wanajua kuwa UTANZANIA NI MALI YA WATANZANIA, MATANGAZO YENU INAWEZA KUWA NI MIALIKO RASMI NA WASIO WATANZANIA WAKAUTAKA UTANZANIA KUPITIA GOLD, LAND, URANIUM, GAS, OIL, HATA KAMA MNAUZIKA BASI MKAUZWE SAWASAWA NA UFAHAMU WENU.

Mi simo humo.
Imetolewa kwa hisani ya watu wa singida.
 
Ukikalia politic kila kitu unaona ni siasa, mi habari za siasa nimewaachia watu wa huko siasani. Anyway, wasalimie Singida, mji umejaaliwa warembo huo, iko siku ntakuja kufanya utalii wa ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom