White House yatoa video ya kumdhalilisha Rais Maduro akipelekwa kwa pingu Marekani

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Maduro atasafirishwa hadi gereza la Kituo cha Magereza cha Jiji ambapo atakabiliana na mashtaka ya dawa za kulevya, saa chache baada ya jeshi la Marekani kumkamata yeye na mkewe.

Maduro aliwa na mkewe Makao Makuu ya DEA alionekana akichechemea na kutoa kauli ya heri ya mwaka mpya.

Wakati huo huo, akaunti ya mtandao wa X ya White House imechapisha tena video iliyochukuliwa awali yenye kumuonyesha Nicolas Maduro akiwa amefungwa pingu huku akisindikizwa na maafisa wa usalama katika makao makuu ya DEA huko Manhattan.
 
Hapa yeye alikuwa anawapamba wananchi Kwa kuamuru magari ya Polisi yakanyage waandamanaji?
 
Attachments

  • twitter_2007685428741112179__1767507469419_Kumbusho Dawson Kagine - Hii ilikuwa mwaka 2019 wan...mp4
    388.3 KB
Sija angalia hiyo video ila hapa kuwa na haja ya kuonesha hizo picha..
Hata hivyo; kuvamia Nchi yenye uchumi wa kawaida kama venezuela na kuonesha kuwa umeshinda sana
Ni sawa; na kutumia pikipiki kushindana na baiskeli halafu mwenye pikipiki apige picha kujisia... Shame on USA!!!
 
Maduro atasafirishwa hadi gereza la Kituo cha Magereza cha Jiji ambapo atakabiliana na mashtaka ya dawa za kulevya, saa chache baada ya jeshi la Marekani kumkamata yeye na mkewe.

Maduro aliwa na mkewe Makao Makuu ya DEA alionekana akichechemea na kutoa kauli ya heri ya mwaka mpya.

Wakati huo huo, akaunti ya mtandao wa X ya White House imechapisha tena video iliyochukuliwa awali yenye kumuonyesha Nicolas Maduro akiwa amefungwa pingu huku akisindikizwa na maafisa wa usalama katika makao makuu ya DEA huko Manhattan.
Asingeoneshwa mngekataa hajakamatwa au anateswa.Wacha wamuoneshe.
 
Back
Top Bottom