Kweli hii ingeweza tokea!!

Shareef Conscious

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
522
338
Adam&Eve..

Wanadamu wa kwanza kutia nyayo zao ktk uso wa Dunia na kutengeneza vizazi na Vizazi kutoka nyakati ambazo ni ngumu Hata kujua ilikua ni mwaka gani!

Bado ni ngumu hata ukiweka katika makadirio, na utajua ni ngumu zaidi kama ukitaka kufahamu juu ya MFUATANO WA VIZAZI KATIKA UKOO WAKO!, Ukienda mbali zaidi utafika katika kiza cha fikra zako za mwisho katika kutambua ukoo wako unaanzia wapi, Anzia kwa babu yako kizaa mama/baba kisha rudi nyuma zaidi utaelewa nini hasa namaanisha!

Nlichofikiri kimsingi ni kwamba pengine kama Adam&Eve wasingekula lile tunda katika mti wa kati wa Bustani walipokua wakiishi, Pengine kuitambua hii sequence ya waasisi wa ukoo wako ingekua ni RAHISI&TATA katika wakati mmoja.

Maana kwa mantiki ya kutokula lile tunda wanadamu wangeishi pasi na kufa, Hivyo ni wazi ungejua watu wa awali kabisa katika ukoo wako ukiachilia mbali Adam&Eve, Cha kufikiri hapa ni kwamba;-

Unadhani hali ingekuaje kama pasingelikua na KIFO?

KIFO KISINGEKUWEPO HALI INGEKUAJE?
 
Kungekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira, watu wangekuwa wengi sana sidhani kama dunia ingetumudu kuwa mahala pa kuishi na mambo yangekuwa unbalance.
Lkn huwenda yangepatikana maarifa mengine ili kuweza kumudu hali hiyo.
mweka mada jiulize na hili kwanini kifo kipo..? utaelewa mengine zaidi
 
kwa mujibu wa bible tangu adam mpaka sasa kwa kufuata vizazi ni kama miaka 6000,kwa sisi wana sayansi hapo tunaona kuna maswali ya kuhoji,miaka 6000 ni kidogo sana kutokea evolution kama za wachina ,wazungu,wahindi waafrika nk.inavyoonekana adam na eva sio binadamu wa kwanza ila wamechukuliwa kama sample,au nibinadamu wa kwanza kwa eden tu
 
ningefulahi kama ningekutana na YESU CHRSTO WANAZARETI nikamueleza jinsi wafuasi wake wanavyoangamia na manabii wa Uongo na jinsi INJIRI yake iivyochakachuliwa kwa mgongo wa BIBLIA
 
Hyo Injiri ingetoka wapi wakati mwanzirishi wa injiri yupo.....mitume wote wangekuwepo nadhani kusinge kuwa na biblia wala msaafu
 
Adam&Eve..

Wanadamu wa kwanza kutia nyayo zao ktk uso wa Dunia na kutengeneza vizazi na Vizazi kutoka nyakati ambazo ni ngumu Hata kujua ilikua ni mwaka gani!

Bado ni ngumu hata ukiweka katika makadirio, na utajua ni ngumu zaidi kama ukitaka kufahamu juu ya MFUATANO WA VIZAZI KATIKA UKOO WAKO!, Ukienda mbali zaidi utafika katika kiza cha fikra zako za mwisho katika kutambua ukoo wako unaanzia wapi, Anzia kwa babu yako kizaa mama/baba kisha rudi nyuma zaidi utaelewa nini hasa namaanisha!

Nlichofikiri kimsingi ni kwamba pengine kama Adam&Eve wasingekula lile tunda katika mti wa kati wa Bustani walipokua wakiishi, Pengine kuitambua hii sequence ya waasisi wa ukoo wako ingekua ni RAHISI&TATA katika wakati mmoja.

Maana kwa mantiki ya kutokula lile tunda wanadamu wangeishi pasi na kufa, Hivyo ni wazi ungejua watu wa awali kabisa katika ukoo wako ukiachilia mbali Adam&Eve, Cha kufikiri hapa ni kwamba;-

Unadhani hali ingekuaje kama pasingelikua na KIFO?

KIFO KISINGEKUWEPO HALI INGEKUAJE?

Mkuu tungeishi vizuri ikiwa tunge kuwA hatuna dhambi, in fact kifo kilikuja as punishment pia kama msamaha, imagine tungeishi ndani ya dhambi na uonevu, mgonjwa yasiyo tibika, vita na manyanyaso yote but you still there, it's painful, God knew at some point we need a break from this world of sin.
 
kwa mujibu wa bible tangu adam mpaka sasa kwa kufuata vizazi ni kama miaka 6000,kwa sisi wana sayansi hapo tunaona kuna maswali ya kuhoji,miaka 6000 ni kidogo sana kutokea evolution kama za wachina ,wazungu,wahindi waafrika nk.inavyoonekana adam na eva sio binadamu wa kwanza ila wamechukuliwa kama sample,au nibinadamu wa kwanza kwa eden tu
Mkuu umeongea fact moja nzuri sana 6000yrs ni kidogo sana kwa hizi evolution, hapa kuna mawili; aidha special creation theory ilielezwa kimakosa au ni uongo.
 
kwa mujibu wa bible tangu adam mpaka sasa kwa kufuata vizazi ni kama miaka 6000,kwa sisi wana sayansi hapo tunaona kuna maswali ya kuhoji,miaka 6000 ni kidogo sana kutokea evolution kama za wachina ,wazungu,wahindi waafrika nk.inavyoonekana adam na eva sio binadamu wa kwanza ila wamechukuliwa kama sample,au nibinadamu wa kwanza kwa eden tu
hivi adam Wa eden na yeye ana mitama kama ya huyu wa huku duniani
 
Adam&Eve..

Wanadamu wa kwanza kutia nyayo zao ktk uso wa Dunia na kutengeneza vizazi na Vizazi kutoka nyakati ambazo ni ngumu Hata kujua ilikua ni mwaka gani!

Bado ni ngumu hata ukiweka katika makadirio, na utajua ni ngumu zaidi kama ukitaka kufahamu juu ya MFUATANO WA VIZAZI KATIKA UKOO WAKO!, Ukienda mbali zaidi utafika katika kiza cha fikra zako za mwisho katika kutambua ukoo wako unaanzia wapi, Anzia kwa babu yako kizaa mama/baba kisha rudi nyuma zaidi utaelewa nini hasa namaanisha!

Nlichofikiri kimsingi ni kwamba pengine kama Adam&Eve wasingekula lile tunda katika mti wa kati wa Bustani walipokua wakiishi, Pengine kuitambua hii sequence ya waasisi wa ukoo wako ingekua ni RAHISI&TATA katika wakati mmoja.

Maana kwa mantiki ya kutokula lile tunda wanadamu wangeishi pasi na kufa, Hivyo ni wazi ungejua watu wa awali kabisa katika ukoo wako ukiachilia mbali Adam&Eve, Cha kufikiri hapa ni kwamba;-

Unadhani hali ingekuaje kama pasingelikua na KIFO?

KIFO KISINGEKUWEPO HALI INGEKUAJE?
Waislamu wanajua nasaba za Mtume Mohammad SAW kwa vizazi 20 kabla, hakuna ugumu ni namna tu familia inavyoweza kutunza kumbukumbu
 
Back
Top Bottom