Labda aambulie unyapara huko jela,kwani kama atatoka basi atakuwa kikongweWanasemaga ili upate dhahabu nzuri lazima ipite kwenye moto mkali. Ole Sabaya ni kiongozi mkubwa nchi hii ajaye. Sasa hivi anakomazwa ili aje aisimamie nchi hii zaidi ya Jembe Magufuli!
Kumbe washamsasambuaHuyo siku nyingi huko Dodoma wahuni walifanya yao Kikuyu - Iringa Road.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo jamaa kumbe yuko bado jela?Anafokolewa deile
Bado ananyea debe kesi zake hazina dhamana,watamla sanaKwahiyo jamaa kumbe yuko bado jela?
Daaaahhh walimwengu wabayaBado ananyea debe kesi zake hazina dhamana,watamla sana
Labda asimamie Banda la NguruweWanasemaga ili upate dhahabu nzuri lazima ipite kwenye moto mkali. Ole Sabaya ni kiongozi mkubwa nchi hii ajaye. Sasa hivi anakomazwa ili aje aisimamie nchi hii zaidi ya Jembe Magufuli!
Hahahaha kwahyo ukiwa madarakani kuna rangi mpya inakuja 😂😂😂 ukiondoka nayo inaondoka😂😂😂Dah! Chalii imerudi kwenye rangi yake...