Kweli hadi kwa housegal jamani

Kweli hadi kwa housegal jamani

Ni kweli kuna mahala imeandikwa wake wa isaka walimpa mjakazi awazalie mtoto wao ambaye ni Benjamin
1.Mambo ya biblia yamefikaje kweny huu uzi?
2. Unajua mhusika ni dini gani?
Kuwa greater thinker mr. Acha kufuata mkumbo.
 
Hata kenye bibble ipo hiyo wahenga walikuwa wanawapa waume zao ma house girl wawazalie watoto kama zawadi
Ile ilikuwa ni "mutual arrangements" (lazima pande zote zikubaliane) na pia zilikuwa special case mfano, mke hana uwezo wa kuzaa...
 
1.Mambo ya biblia yamefikaje kweny huu uzi?
2. Unajua mhusika ni dini gani?
Kuwa greater thinker mr. Acha kufuata mkumbo.
Wewe zombi kweli unamaanisha imani za dini hazina mchango katika matendo!??.Rudi darasani
 
Wewe zombi kweli unamaanisha imani za dini hazina mchango katika matendo!??.Rudi darasani
Pole sana.
Ulivyo ***** umeshindwa kujibu maswali yangu. ****** mkubwa ww
Sijui mnalishwa nini huko mpaka uchukie imani za wengine. Wengine wameshauri vizuri tu kasoro wajinga wawili tu ambao wao bila kusema imani za watu wengine bado hawajaridhika. Humu siyo facebook wala instagram unapost chochote kitakachokuijia kichwani.
Shubamiti
 
kama house g ana kutega kwann usitegeke!
 
wanaume sijui mnataka nini .kuna jamaa alitembea na paka wao .yaani just imagine mtu anamtamani paka wake hadi anafikiria kumuingilia sembuse msichana wa kazi. Mungu aingilie kati huko chini
Umeamua kutudhalilisha baada ya kutukanwa na mke wa aliyekukojoza yule hg!
 
Muttaz bandiko lako linaonesha kwa house girl hapana ila nje kwingine ruksa! Hapana Muttaz, hizo hatari unazoziogopa kutoka kwa house girl hakika unaweza kuzipata hata kwa wanawake wengine wa nje. Ni hatari kutoka nje ya ndoa fullstop!
Kambaku unajua house gal nimsaidizi wako nyumbani so kilicho kwako yeye anakishiriki Moja kwa Moja so kama umediriki kula Msaidizi wako wa nyumbani nirahisi Zaidi kuanguka kuliko kula Nje ya nyumbani!

Ila nakiri kula huko Nje na kumla Msaidizi wako wa nyumbani zote nidhambi na Hazina unafuu!
 
Back
Top Bottom